Kuna mwana amenogewa na penzi la kipare
Anasema ni tamu kama papai
Mind you, papai halijawahi kuwa refu
Anaomba asiulizwe maswali, utamu huo aje?
Umemwelewa lakini?
Habar wakuu,
Ni takriban miez 2 tangu nifahamiane na huyu bi dada, Kuna stori behind iliyofanya tufahamiane nae japo kuielezea hapa nitawachosha wasomaji,
Kwa mwanzoni sikuwa namzingatia maana alikuwa anaweza akasafiri kutoka kwake hadi mitaa ya hom na kuomba tuonane na tukishaonana tunapga...
Unajua Mhusiano bado ni Mada pana Sana lakini tugusie leo kitu kidogo tu kwenye swala la Game.
Mwanaume always akiwa na mtu lazima awe na hisia naye hivyo basi yeye hawezi chukia tendo, Lakini kuna Ingredients kidoncho vikiongezeka basi hata kama huyo mtu alikuja Kuchapa Ilale basi atabaki...
Habari wanaJF, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hakika mungu ni fundi kama kweli yupo basi azidi kuwa na afya njema huko aliko 🙏, nilipata wasaa wa kutembelea jiji la Tanga, nikazunguka baadhi ya maeneo na vitongoji vyake, ukweli usemwe watoto wa kike kutoka tanga wameumbika kweli kweli:-...
Hivi wadau umewahi kuonja penzi la Mzee.
Sio Mzee 50 nope 45 kurudi chini. Like 42 halafu anayejiweka vizuri Kwa mlo ,mazoezi na muonekano.
Haloo kwanza Kwa harufu nzuri tu unadata ,bado mengineyo wazee wakikupa fulsa ya kuenjoy unaenjoy aisee sio nyie mnachezea kitu hadi mtu anaugua hii sio...
Wanajamvi nataka niwasilishe hoja kibabe
Ni hivi kuna zile kauli ooh Mapenzi sio pesa, pawepo na upendo wa dhati basi, ooh ndani pawe na Amani na Upendo ndio kitu kikubwa nisawa.
Ila tu nikazie Hasa kwa Mwanaume pambana uwezavyo uwe na visenti ili mkitaka kwenda Coco kula miogo unato tu cent...
Habari wanajamvi,
Acha niongee maana penzi limenikaba koo sifurukuti. Natamani kuhadithia raha nazopata jamani, sikuwahi dhani kuna mapenzi matamu hivi hasa kutokana na kutendwa huko nyuma jamani.
Kwa kweli shikamoo mjeda laaaaa, ananipa kile mwanamke anatakiwa kupewa!! Ananijali ananitunza...
Asalaam,
Bila kupoteza mda, mimi na mke wangu tuna miaka kadhaa kwenye ndoa ila alhmdulillah ndoa imejaa mazuri meeeengi.
ila ya leo kiboko... Tulipishana mida ya kuingia kazni yy aliingia usiku mm mchana tukakutana usiku mwingi asubuhi niliwahi ibadani mapema saana kushughulikia mambo flani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.