mapenzi na hela

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa

    Kila mwanamke anapenda hela ila sio wajibu wako kama hujamuoa, Mwanamke akikupenda: Hakosi hela ya nauli Hakosi hela ya saloni Hakosi bando Simu haiwezi kuisha chaji Hawezi kuwa busy Tatizo la vijana mnatumia hela kununua attention, Mwisho unalia mbona nilimpa kila kitu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…