Huu ni wimbo wetu wanaume, kwamba sisi hatuongozwi na hisia, kwenye kuangalia kitu na kufanya maamuzi tunafata logic na kuwaambia wanawake ni viumbe wanaoongozwa na hisia.
Sasa hasira na maumivu kwenye mapenzi yanatoka wapi? Maumivu hayo si ni matokeo ya hisia? Pisi kali ikikupiga tukio...