Naam hujakosea, nitaeleza kwa ufupi kwakua mimi sio muandishi sana.
Miaka kama miwili nyuma wakati nasoma chuo mwaka wa mwisho nilizama penzini na mtoto aitwae A... Fa (aged 19 - 21) alikua akiishi kigamboni huyu mtoto kwanza kabisa nilimpata kirahisi sana kwakua alikua ameachwa na bwana wake...
Kuna rafiki yangu kanilalamikia sana leo, anasema ana mwanamke alimtongoza na wana miezi kama saba hivi.
Kila akimpanga kuja geto anatafuta visingizio ila jamaa anajitoa sana kwa mwanamke, akiomba pesa anapewa, akiomba pesa ya kusuka anapewa, jamaa akiomba waonane wanaonana sehemu kama kwenye...
Wakuu,
Naumia sana, nateseka sana nimepambana vya kutosha kutongoza hadi nimemshawishi mwenzangu tuishi pamoja lakini tatizo hanipi ushirikiano kwenye kunipa tunda.
Yaani wakuu hakuna kitu inauma kama umelala na manzi halafu unauhakika ana pichu tu ila kipengele ni kumgusa tu shughuli yake...
Bhana nimecheka sana, kuna rafiki yangu kipenzi anamadharau sana, akimwona mwanaume hajajiweka sawa anamcheka na akimfuata anamkimbia au anadai kaolewa.
Kuna huyu mkaka wako majirani kikazi, yaani ofisi zao zinaangaliana, huyu kaka alimfukuzia best yangu tokea kitambo ila yule dada alikuwa...