Sitaki kutia chumvi yoyote,
Maoni yenu ni yapi Huyu mwanadada msomi, kwa mujibu wake yeye ana elimu kubwa kuliko jamaa, ila jamaa ni form four failure mwenye pesa kuliko yeye na exposure kubwa ya biashara
👉Mwanadada anaona kama kipengele cha elimu kinapwaya
👉Now she is 27
👉Vipi amuache jamaa...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana wengi siku hizi hutafuta mabinti weñye kazi au kujishughulisha na mambo ya kiuchumi.
Mabinti wasio na kazi wamejikuta katika hali ngumu sana. Tena binti awe hana kazi alafu awe maskini au atoke familia maskini hakuna rangi àmbayo ataacha kuiona.
Hata...
Hiyo nafasi niloacha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Ipo hivi. Pamekua na mambo mob sana hapa ndani, na vijana wengi wamekua wanalalamika kwamba "kumtunza ama kumhudumia mwanamke ambae sio mke wako ni uharibifu wa pesa/noti/njaro".
Nasema hivi: Ukimsikia mwanaume analalamika kuhusu...
Nimeijua couple hii nyuma kidogo ya Pendamic ya Corona. Juzi wakati nimerudi kwa huu Mtaa nilishangaa kuikuta iko vile vile na pale pale nilipoikuta kwa mara ya kwanza. Makazi yao yapo kwenye kona ya kiosk( requor store) ndogo hapa Mtaani.
ukiingia ama kutoka kwa hii KIOSIK kama unachochote...
Msichana mwenye umri wa miaka 22 aitwaye Tiffany Gray ambaye ni Mshukiwa wa mauaji ya Sugar Daddy wake, Fasil Teklemariam (53), yupo rumande akishutumiwa kumuua Fasil na kisha kumkata kidole gumba ili kutumia programu yake ya benki na Uber.
Tukio hilo lilitokea April mwaka huu huko Washington...
Hakuna muda wa kuremba maneno
Mwanamke yuko tayari kuishi na mwanaume hata asiyempenda ili tu atimize hitaji lake.
Ukikamuliwa sana pesa hupendwi.
Jamaa mmoja alikuwa kila akipata shekeli lazima ampe huyo demu wake na demu anampelekea dume lake.
Siku moja rafiki wa njemba muhomgaji alimkuta...
Na Dada Fridah Nakazwe
1. Pata mwanamke sahihi - Sahau slay queens na wanawake wenye sura lakini akili sifuri. Pata mwanamke ambaye sio tu atasaidia maono yako lakini pia atakusukuma kufikia zaidi. Mwanamke ambaye atakupa msukumo wa kufanya kazi kwa bidii na sio mwanamke anayekufanya uwe mgumu...
JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi.
Kusoma sehemu ya kwanza ya mahojiano haya...
Ukiona mwanamke anakuweka kwenye profile zake za mitandao ya kijamii au billboard anakutajataja kwenye maadishi yake na kwa marafiki zake, jua tu yeye ndio ana kufaidi kuliko wewe unavyodhani.
Mwanamke hawezi kutangaza mwanaume masikini hata kama unampenda kiasi gani, ukiwa mkata nyasi wewe...
Wakuu Habari zenu!
Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela.
Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.