mapenzi ya kisasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mapenzi asilia Yana nguvu zaidi ya mapenzi ya kisasa

    Mapenzi asilia nini? Ni mahusiano baina ya wapenzi yenye kufuata tamaduni fulani iliyopo kwenye jamii walipo au asili ya jamii wanayotoka wapenzi hao. Mfano, kama wapenzi watachagua kuhusiana kimapenzi kama wamasai, maana yake wataishi kwenye mapenzi Yao kwa kufuata tamaduni za kimasai. Mapenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…