Wanabodi,
Hii ni makala yangu kwenye gazeti la NIPASHE la leo.
Uteuzi wa Prof. Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Sheria kwa Mara ya tatu, japo umefanywa na Rais Samia ambaye ni binadamu, Rais Samia ameongozwa na Roho wa Mungu kumuona Prof. Kabudi!. Hii maana yake Mungu ana makusudi fulani...