Ukiwa umeoa / nyumbani una familia hakikisha kila unaporudi home unarudi na mfuko umejaa vitu vya sokoni.
Ukijenga huo utamaduni itakuongezea heshima kwenye nyumba yako hata kabla haujaingia ndani ya nyumba yako utaona mke au watoto wanakukimbilia kukupokea.
Inawezekana kila mwanaume anahitaji mapenzi kutoka kwa mwanamke katika uhusiano lakini mwanamke hupaswi kujidanganya kwamba mapenzi pekee yanatosha kwa mwanaume.
Kuna sababu mbili ambazo wanawake wanazilalamikia zaidi kwenye mahusiano. Utasikia, baada ya kumpa mwili wangu aliniacha.
Wengine...