mapenzi

  1. M

    Nampenda member Eph

    Huyu memba nampenda sana, mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+. Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama. Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani, humu wanakupaparikia ikiwemo mimi, nmekusoma sana kimyakimya lakini sikati tamaa. Sema utakacho dear...
  2. Sidhani kama nitaweza kuishi na mwanamke mimi. Wengine mnawezaje?

    Asalaam, Hawa viumbe, mimi huwa siwaelewi wanataka nini hasa ili kujenga amani na furaha kwa mara nyingi maana mara zote haiwezekani. Wao ni watu wa mood swing, mimi siwezi kazana na hisia za mtu mzima wakati kala kashiba, pesa nimempa na moto nimempelekea. Mimi hata niwe na magumu kiasi gani...
  3. Ukiachwa achika

    Mwaka jana kuna binti aliniacha ghafla kupitia sms nanukuu "D nimefikiria nimeona hatuwezi fika mbali naomba tuachane" hapo ni baada ya dk kadhaa za kuambiana tunapendana akanipiga block kuanzia kwenye simu mpaka kwenye mitandao yake ya kijamii nikawa sina direct access ya kuwasiliana naye siku...
  4. Kwanini wanamuziki wengi wa Marekani hawatoi nyimbo zenye maneno matamu ya mapenzi kama ilivokuwa miaka ya 1980's?

    Habarini, Miaka ya 1980 kulikuwa na nyimbo kali za mziki zilizo romantic, kama vile stuck on you Lionel Richie, all my life -kci Jojo, endless love, end of the road Boyz to men, hard to say am sorry, Chicago, kina peabo Bryson na Roberta etc Sahivi nyimbo za aina hiyo mbona hazitungwagi tena??
  5. N

    Nawaomba radhi wale wote niliowakejeli kwasababu ya mapenzi

    Niende moja kwa moja kwenye mada nisikuchoshe tusichoshane. Mi nilikua nikiona mtu analialia kisa mapenzi nilikua namuona bwege mtunzeni, nilikua nawaza mtu anawezaje kulia au mtu anawezaje kukosa kontro na kupelekea kufanya mambo ya ajabu kisa mapenzi? Nilikua nasema sitoweza kuja kufanya huo...
  6. Mambo matano yatakayokusaidia kutengeza mahusiano bora ya ndoa

    ZINGATIA HAYA ALFAJIRI. KIJANA JINSI ZOTE. Nimeiita alfajiri tusiyojua kilichobebwa na mchana wake. Ndio ni alfajiri na mapema ya mahusiano unayoona pengine kuna umbali yataenda na hata kukupeleka kwenye ndoa. Watu wengi huanguka mwanzo/asubuhi lakini athari huonekana jioni kwa sababu tu...
  7. Nina Miaka 32, nahisi sitokuja kuoa kabisa

    https://youtu.be/Cvpm7ckpd_M?si=XZrDOzXkE3ZHrsBO Habari wadau kabla hujaanza kusoma vaa earphone hapo bonyeza huwa wimbo kenny g nimeu pin ili ukusadie kuzama kwenye kisa soma soma kisa changu Basi mwaka 2017 maeno ya kisutu posta nilikutana na dada mrembo sana tukabadilishana...
  8. Bado nampenda Sumaiya ingawa nimeshaoa - True Story

    Karibuni kwenye simulizi yangu ya maisha yangu ya kweli,Yenye Mapenzi na uchawi juu yake. Story inaanza mwaka 2018 nikiwa mwaka wa kwanza pale udsm main campus,mwaka huo nilikuwa mwaka wa kwanza,nilikuwa nakaa hostel za chuo pale mabibo hostel block D ,basi maisha yalikuwa yanasonga tu...
  9. Mapenzi hayana tofauti na betting

    Kwema wakuu, Lazima tukumbushane kuwa ukimpenda mtoto wa watu ambae umekutanae ukubwani lazima uwekeze moyo na pesa zako kwa kiasi sio unaweka moyo wote na pesa zote siku mambo yakiwa tofauti lazima ujikute umepigwa na kitu kizito ndo pale unasikia mauaji n.k, Kwa wakamaria hawa hawanashida...
  10. Wanaume huwa tunakuwa wababe vijiweni ila kwenye mapenzi na wanawake tunakuwa wa shule ya msingi kabisa.

    ■mara ooh amemkata kata hadi kumuua demu wake kisa ya kujua anatumika kwingine ■mara ooh amemuua kwa risasi mke wake na yeye kujiua kwa risasi. ■mara ooh hawala anakuja kudai sehemu ya urithi baada ya bwana kufariki. ■mara ooh amelawitiwa na baunsa kama wanne baada kufumaniwa na mke wa mtu...
  11. Kwani kuna ulazima wa mwanaume kufanya mapenzi na kila mwanamke aliye mbele yake?

    Hii inakwenda kunipita mbali kwakweli. Hapa jirani kuna binti ambaye ni mzuri tu kimuonekano ambaye huwa naponea kwenye mwili wake Kabla ya kukubaliwa naye, nilipitia magumu mengi ya kupata shamba la kumwagia mbegu zangu hapa mtaani, maake kila niliyemuhitaji alinipiga chenga. Mimi na huyu...
  12. Vitu hivi pambana uvipate, ukivikosa usilazimishe jipe muda- pesa, mapenzi na madaraka

    Na Comrade Ally Maftah KING OF ALL SOCIAL MEDIA Katika hii dunia inayokwenda kasi na isiyohitaji kubembelezana, unatakiwa kupata hivi vitu vitatu kwa namna ambayo hutoutweza utu wako. 1. PESA/ MALI Katika hii dunia hakuna mbadala wa pesa, ili uishi kwa furaha ni lazima uwe na pesa, hivyo basi...
  13. G

    Kanuni ya "tafuta hela" kwa wanaume hailipi katika mapenzi. Tazama hapa

    Kuna mdau analalamika "Nimetafuta hela, nimezipata. Mwili umekubali na nimenona, lkn wanawake hawanitaki. Sababu ambazo wanawake wanazitoa ni kwamba nimenenepa sana, nina kitambi kikubwa". Swali analojiuliza ni kwamba:. Mtu anawezaje kupata hela halafu asinenepe? Hela na afya vyote anavyo lkn...
  14. H

    Drama ya Mapenzi: Kaka Anayekopesha kwa Riba na Tamaa za mke mchepukaji zasababisha ndoa kuvunjika na mauti

    Kuna kaka (baba) mmoja anakopesha kwa riba, akawa ana date dada mmoja mke wa mtu.... Yule dada na mumewe wakapata dharura, akashauri mumewe wakope pesa kwa mchepuko (mumewe hajui kama mkopeshaji ana date na mkewe) wakaweka nyumba yao kama dhamana. Penzi likanoga, mume akimpa mke marejesho...
  15. Usione nakubembeleza sana ukahisi sina kazi za kufanya, ni mapenzi tu kuna siku nitachoka kuyakumbatia madhaifu yako

    Hii ndio kauli niliyoambiwa na wife wangu kipindi hiko nipo moto balaa michepuko kama yote sieliwi nawaza misabwanda tu. Hii kauli ilibadili maisha yangu sana. Nikawa mpolee na familia.. Wewe uliambiwa kauli gani na mwenza wako ukabadili maisha yako ya mahusiana?
  16. Mapenzi ndio ni uchafu ila kwanini unilazimishe kumeza uchafu

    Wanaukumbi mko njema Katika hali ya kawaida nilienda kusuuza rungu kwa binti mmoja hivi Kama kawaida yetu huwa hatunaga show mbovu, nikamwandaa kisaikolojia vizurii kabla hatujaingia ktk pit Manzi akaja na full curiosity ya mechi maana nimemwandaa vyema kisaikolojia kiasi kwamba hata...
  17. S

    Karudi kwa kasi kuomba turudiane ila sina mapenzi nae tena

    Huyu ni msichana ambae nimekua nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka miwili Pamoja na changamoto za hapa na pale za kimahusiano lakini tulijitahidi kuwa pamoja kwa kipindi chote hicho. Kuna siku tulipishana kidogo kiswahili na mwenzangu lakini baada ya kukaa na kufikiria nikaona kabisa...
  18. Kama mwanaume anatoa mahari au posa ili kumuoa mwanamke kindoa ni sheria, iweje kuhonga mwanamke kwaajili ya mapenzi si halali?

    Dah nimejaribu fikiria sana kuhusu hii kitu. Kuhonga mwanamke au kumpa hela ili ulale naye wewe mwanaume si halali bali kutoa posa au mahari ili kujiakikishia unakuwa na mbususu maisha yako yote kuichakata ni halali. Iweje ile ya kutongoza mdada mtaaani then unampa hela na kufanya naye mapenzi...
  19. Mapenzi Waliyokuwanayo Watanganyika kwa TANU na Julius Nyerere

    Hii video fupi naeleza nguvu ya TANU na Mwalimu Nyerere wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika. Nimekusanya kiasi ya picha 50+ za Mwalimu kutoka Maktaba alizopigwa kati ya mwaka wa 1854 na 1961. Natafuta namna ya baadhi kuziweka hapa. Ukitazama hizo picha hapo juu na kusikiliza hii video...
  20. Hivi ni kweli kuna dawa ya mapenzi?

    kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini? Au akupe dawa ya mvuto wa kimapenzi?🐒 vipi ndugu, uliwahi kujaribu kupitia njia hii na vipi matokeo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…