mapenzi

  1. Mapenzi kijijini na mjini

    Mapenzi miongoni mwa wachumba au wanandoa vijijini na mijini hutofautiana kulingana na mazingira.... Mathalani vijijini mapenzi hufanyika zaidi nyakati za usiku kwa heshima, ukilinganisha na mjini, ambapo mapenzi hufanyika nyakati zozote tu, hususani mchana, kutokana na upatikanaji rahisi wa...
  2. Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

    Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona Mahala kumeanikwa madhara anayoweza kupata mwanaume endapo hajafanya mapenzi /ngono kwa mda mrefu...
  3. SoC04 Tanzania tuitakayo katika nyanja ya mapenzi, mahusiano na ndoa

    NB: picha kwa hisani ya mtandao. UTANGULIZI. 👉 Linapokuja suala la mapenzi, mahusiano, na ndoa, watu wanaweza kuwa na matakwa mbalimbali yanayohusiana na hali ya maisha, utamaduni, na imani zao. Wakati mwingine, matarajio haya yanaweza kutofautiana kulingana na umri, jinsia, na hata muktadha...
  4. Unamkumbuka Ex wako aliyekuwa anasema hawezi kuishi bila wewe? Umejifunza nini sasa akiwa anaishi bila wewe?

    Hivi unamkumbuka vizuri yule ex wako uliyempenda sana nayeye akajifanya anakupenda mpaka akawa anakwambia bila wewe yeye hawezi kuishi huku analia? Ulijifunza nini baada yakuachana naye halafu ukakutana naye anaishi wakati alisema bila wewe hawezi ishi😂
  5. Nilifuma SMS za mapenzi kwenye simu ya mke siku yetu ya ndoa, bado nikamuoa lakini sasa nahisi kuchanganyikiwa sielewi nifanyeje?

    Kwema Wadau? Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu pia.Sababu ya ndoa zote kutodumu ilikuwa kutopata Mimba kiasi kwamba akasema hawezi kuolewa tena...
  6. Mapenzi yanauma

    Usiombe umpende mtu haswa halafu yeye akuoneshe dharau asiwe na upendo nawewe asee Dunia utaiona chungu
  7. S

    TRUE STORY: Historia ya maisha yangu na jinsi ambavyo nilitaka kujiua

    Habari za muda huu wana JF, natumai ninyi ni wazima wa afya na kama kuna mgonjwa kati yenu basi mwenyezi mungu amponye. Bila kupoteza muda tuje kwenye mada husika iliotuleta hapa kwenye huu uzi. Tuvumiliane jamani kwa changamoto zozote za kiuandishi kama zitajitokeza kwani sio fani yangu bali...
  8. Mapenzi ni kazi kama kazi zingine

    Kazi yoyote lazima ifanywe kwa ufanisi ili ilete matokeo mazuri,na iwe endelevu ili iweze kuleta tija kwa wafanyakazi,,,hivi umeshawi kumsikia mtu amechoka kufanya kazi ikiwa hiyo kazi ndiyo inayo muweka mjini? Kama hivyo ndivyo basi tambua mapenzi nayo ni kazi kama kazi nyingine yoyote...
  9. Mapenzi ni nini? Mashangazi mlioko huku nisaidieini maana ya mapenzi, tafadhali!!

    Majuzi tulipokea utambulisho wa mtoto wa kaka, kaleta kijana huyo kila mtu alichokaaaaa Mtoto wa kaka nae ndio wale matajiri waliosomaga ulaya kuanzia sekondari mpaka chuo, ungetegemea alete mzungu, mmarekani mweusi au mwafrika well off but nooo katuletea mbongo, wa bongo, Baada ya kumaliza...
  10. J

    Dr. Chris Mauki vs Kataa Ndoa 2: Feminists wanachangia kwa kiasi kikubwa watu kukataa ndoa. Kwa bahati mbaya sana asili haitakaa ibadilike!

    JamiiForums ilipata wasaa wa kuongea na Dr. Chris Mauki, Mtaalamu wa Saikolojia, Ndoa na Mahusiano, Malezi na Mhadhiri kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam juu ya suala hili la Kataa Ndoa, mjadala ambao umekuwa mkali sana hasa kwa vijana wa zama hizi. Kusoma sehemu ya kwanza ya mahojiano haya...
  11. Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja. "Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai...
  12. W

    Mapenzi na Mikasa yake

    Wakaka njoeni hapa usishushe nguvu ya mwanamke kwenye kulipiza kisasi Cha mapenzi huwezi kujua atafanya nini. Kuna mkaka mmoja alikuwa ameoa shida alikuwa anasaliti sana kwenye ndoa yake akitegemea mwanamke atamsamehe na kumpuuzia kumbe mke wake alikuwa hajasamehe usaliti aliofangiwa na mume...
  13. Wachina japo kuwa na teknolojia kubwa na elimu ila mapenzi yao yapo kwa wazungu kwenye bidhaa zao zote

    China ndio nchi inayoongoza kwa bidhaa nyingi na teknolojia nyingi ila cha kushangaza kuwa na vyote ila ni wapenzi wa bidhaa za wazungu kuliko zao mfano vifaa vya Apple,kompyuta za makampuni ya kigeni ulaya na usa,vinywaji mfano henesi,heniken na n.k. swala la elimu wanapenda kusoma vyuo...
  14. W

    Mkasa gani wa ajabu umewahi kukutana nao kwenye mapenzi?

    Hii ilishawahi kukutokea? Na ulichukua hatuna gani? Wadada Kwa wakaka itaneni hapa.. . Ulishawahi kuwa kwenye mapenzi yenye Mikasa ya ajabu mara fumanizi na vitimbili vya Kila namna? Hatari! Kuna rafiki yangu alipitia magumu kwenye mahusiano yake usaliti, vipigo, masimango na vitu kibao. Siku...
  15. Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

    Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii imempelekea kila siku jioni lazima alazimishe tuonane. Tangu wiki iliyopita hataki kuniachia nafasi, akitoka...
  16. Alikuwa anaenda kuolewa akamtumia ujumbe Ex eti waagane, imefanya niwaze sana kuhusu suala la kuoa

    Juzi niliudhuria send-off Moja mkoa X, Huyu Binti ni mwenyeji wa huo mkoa, sasa alipata mchumba mkoa mwingine na alikubali kuolewa, aliyekuja kumuoa alimwambia direct kwamba nataka kukuoa, yule mwanamke hakukataa licha ya kuwa na mahusiano yake ya mwanzo (alikubali kwa sababu mtu wake wa mwanzo...
  17. Maisha matamu ila mapenzi yamekuwa machungu kama kitunguu swaumu

    Mungu awe nanyi, Dunia Ina mengi matamu tumeishi nyakati zote tunaona utamu wa Dunia ila kwa sasa mapenzi yamekuwa Machungu sana, bila pesa wanaume tumegeuka vibwengo watazamaji wa miili minono ya wanawake ikipita barabarani, ukijikaza kidogo tu swali la kitaifa linakuhusu. Una shingapi? Hii...
  18. Mnawatoa wapi watu wenye mapenzi ya kweli?

    Wakuu kwema? Mimi nina swali dogo sana. Watu hua wanasali sala gani au wanafanya nini mpka wanapata wapenzi wenye mapenzi ya dhati na wametulia?
  19. Nimekuwa mlemavu wa hisia za mapenzi

    Kusema ule ukweli kabisa toka nimpe moyo dada mmoja akauvunja basi nahisi kabisa kuwa nimepata ulemavu wa kupenda tena. Ni miaka mitatu sasa nimekosa hisia za kupenda na wala sioni dalili za kurudi kwa hisia hizo, Nimebaki na hisia za kutamani pekee… I feel fine niki-hit and run, Na hit...
  20. Wanaume wenye mapenzi ya kweli wapo hivi

    Wanaume wenye mapenzi ya kweli na wenye kujitambua mara nyingi huwa ni washamba, hawajui kuvaa, wanesoma sana tena kwa shida, wana hofu na Mungu na wanaenda kanisani, ni wapole. Hawajui Hii miziki ambayo ina trend, wanakua wanaheshimu wanawake na kuwaona kama dada zake na mama zake. Hawanywi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…