mapinduzi ya kilimo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BLACK MOVEMENT

    Huu mwezi kabla hujaisha kuna Tenguzi na Teuzi tena, lengo kuu ni kuwakeep watu Busy, Hapa Mama ana akili kubwa sana

    Raisis Samia nahisi ana washauri wazuri sana kwenye nyanja za Propaganda, hii eneo Raisi naweza mpatia 100. Anacho Fanya ni kucheza na kili za wajinga wa hili Taifa na ameisha ambiwa na watu wa kitengo kwamba Watanzania wengi asilimia 98 ni watu wa kupiga mdomo kwenye vijiwe vya kahawa na...
  2. Getrude Mollel

    Pre GE2025 Tunashuhudia Mapinduzi ya Kilimo ya kweli chini ya Rais Samia Suluhu Hassan

    Sidhani kama kuna mtu atabisha kwamba, kwenye nchi hii hakuna wakati sekta ya kilimo imepata mazingatio makubwa sana kuliko wakati wowote ule kwenye historia ya nchi yetu. Ushahidi wa kwanza wa hoja yangu ni Rais Samia Suluhu kuongeza bajeti ya kilimo kwa zaidi ya asilimia 200, kutoka TZS...
  3. ChoiceVariable

    Bashe: Rais hataki utani, amedhamiria kuleta mapinduzi ya kilimo kupitia umwagiliaji

    Akizungumza Leo huko Kigoma, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Rais Samia hafanyi Utani na Amedhamiria kumkomboa mkulima wa Tanzania Kupitia Kilimo Cha Umwagiliaji. Waziri Bashe ameyasema hayo wakati akimkabidhi mradi Mkandarasi anaejenga skimu ya Umwagiliaji ya Luiche yenye thamani ya...
  4. L

    SoC04 Halmashauri kuanzisha bloks farms na kuzikopesha kwa wakulima wadogo ili kufanya mapinduzi ya kilimo

    Namshukuru Mungu nami kupata nafasi ya kuchangia mawazo yangu katika kuitafuta Tanzania tuitakayo. Maoni yangu yatajikita katika mapinduzi makubwa ya kilimo Kwa maana ya ukulima wa mazao ya mashambani, ufugaji na uvuvi Kwa kuanzisha mfumo wa mashamba vitalu (blok farms) katika Kila halmashauri...
  5. Kaka yake shetani

    Hivi serikali inashindwa nini kujikita kwenye mapinduzi ya kilimo na vifaa vyake

    Ni aibu kila nchi inayokuja kujifunza tanzania kilimo ikipeleka kwao inafanya mpaka kujulikana wazalishaji wakubwa.leo zana na vifaa vya kilimo vina utitili wa makodi na siasa yani mpaka mbolea ni jambo la zama za zamani. wakulima,wafugaji na wavuvi ni kama watu wasio thaminika.watu hawa ndio...
  6. MamaSamia2025

    Mapinduzi ya kilimo hayataletwa na jembe la mkono

    Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nimeona post ya viongozi kugawa majembe ya mkono kwa wakulima huku mkuu wa wilaya akiwataka vijana wakachukue utajiri kwenye kilimo. Binafsi nimeona hilo tukio ni la kisiasa sana na lingepaswa kufanywa mwaka 1880 kabla ya mkutano wa Berlin. Kwa nyakati hizi...
  7. BLACK MOVEMENT

    Mapinduzi ya kilimo ya Bashe ni hadaa kubwa sana

    Bashe anataka kuleta Mapinduzi ya Kilimo Ya Tanzania ambayo hayapo kokote kule Duniani. Dunia nzima Mapinduzi yao ya kilimo yalianzia Darasani na baadae kutoka nje, na huko nje wakaanza kuzalisha mashine za kuweza kulima kisasa na baadhi ya hizo mashine wakaanza ku export na kama haitosji...
  8. Mkolosai2020

    Mapinduzi ya kilimo

    Kilimo ni sekta moja mihumu na chimbuko la sekta nyingine zote, kilimo huzifanya sekta nyingine kuwa endelevu endapo kina kuwa hai na endelevu. Vijana tunashindwa kuimudu sekta ya kilimo kutokana na sera mbovu zisizo rafiki katika uendelevu, sera nyingi hulenga kwa kipindi fulani na kwa lengo...
  9. MIXOLOGIST

    Mpaka sasa Bashe ndiyo kijana mzalendo wa ukweli atakayeleta mapinduzi ya kilimo na uchumi

    Wasalamu wana JF, Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo. Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani...
Back
Top Bottom