Kilimo ni sekta moja mihumu na chimbuko la sekta nyingine zote, kilimo huzifanya sekta nyingine kuwa endelevu endapo kina kuwa hai na endelevu.
Vijana tunashindwa kuimudu sekta ya kilimo kutokana na sera mbovu zisizo rafiki katika uendelevu, sera nyingi hulenga kwa kipindi fulani na kwa lengo...