mapinduzi

  1. Mkuu wa Wagner apongeza mapinduzi ya kijeshi Niger na aomba apewe fursa ya jeshi lake humo

    Hili lizee limemshinda Putin kule sasa limeelekeza nguvu Afrika, litatuharibia bara, wapiganaji wake wapo maeneo mengi Afrika hii.... Despite having led an armed mutiny in Russia last month, the mercenary boss has been seen at a summit in St Petersburg. Wagner mercenary boss Yevgeny Prigozhin...
  2. Niger: Wanaosapoti Mapinduzi wavamia ofisi ya Chama Tawala na kuchoma moto

    Wafuasi hao wameshambulia makao makuu ya Chama cha Rais aliyepinduliwa na kuchoma moto, kupiga mawe na kuchoma magari yaliyokuwa nje ya jengo husika. Wakati hayo yakitoka Jeshi la Niger nalo limetoa tamko la kuunga mkono Wanajeshi waliomteka Rais Mohamed Bazoum Wakati huohuo, Urusi imeungana...
  3. C

    SoC03 Teknolojia tatu muhimu zinazoweza kutusaidia katika kutatua changamoto na kutuletea maendeleo

    TEKNOLOJIA TATU MUHIMU ZINAZOWEZA KUTUSAIDIA KATIKA KUTATUA CHANGAMOTO NA KUTULETEA MAENDELEO. TEKNOLOJIA NI NINI? Neno Teknolojia au kwa kiingereza technology ni neno ambalo limetokana na lugha ya kigiriki “technología“ lenye maana ya maarifa ya ujuzi, sanaa na ufundi yaliyowekwa katika...
  4. J

    Hawa ndio Chama cha Mapinduzi...

    Salamu wanajamvi, Leo napenda nizungumzie jambo moja ambalo elimu ya vitabuni imeshindwa kumkomboa Mwafrika miaka na miaka. Kuna wakati unaweza ukadhani tumelogwa na hatujitambui kabisa. Chama cha mapinduzi kupitia KATIBU mkuu wao wanawaomba watanzania tuiamini serikali yao chini ya...
  5. X

    SoC03 Mapinduzi ya kiteknolojia katika kutatua changamoto za BRELA (Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania)

    BRELA ni kifupisho cha Baraza la Usajili wa Makampuni nchini Tanzania (Business Registration and Licensing Agency). Ni taasisi ya umma iliyo chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara na inahusika na usajili, usimamizi na udhibiti wa kampuni na biashara zingine zinazofanya kazi nchini Tanzania...
  6. SoC03 Ni jukumu langu kuleta mapinduzi ya kijani kwa maendeleo ya taifa

    NI JUKUMU LANGU KULETA MAPINDUZI YA KIJANI KWA MAENDELEO YA TAIFA Tanzania ni nchi iliyojaliwa kuwa na rasilimali mbalimbali ambazo huifanya Tanzania kuwa katika orodha ya nchi zilizobarikiwa duniani. La hasha! Sambamba na yote katika kuboresha na kuwezesha taifa letu kupitia rasilimali zake...
  7. MAONI: CCM wawe wanaangalia Rais gani wa kupewa uenyekiti wa chama chao

    Chama cha Mapinduzi hua wanajizimia taa na kuwa gizani mara kwa mara. Utaratibu wao wa kumteua Rais akitoka chama chao kuwa mwenyekiti wa chama chao safari hii wameikosea Demokrasia kwa kumchagua Samia kuwa Mwenyekiti. Kwa kawaida CCM wana utaratibu wa kidemokrasia kumchagua mgombea urais wa...
  8. Siku tukiacha kuchagua Wabunge Wafanyabiashara tutaona Mapinduzi Makubwa ya Bunge

    Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups. Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash flow kwenye business zake. Always thinking ways to maintain his/her wealth... At the same time mtu...
  9. M

    SoC03 Kuelekea mapinduzi ya kifikra kwa kila muafrika

    Moja ya mambo muhimu tunayopaswa kuyafahamu kwa kila Muafrika haswa nchi zinazotaka kujitoa katika dimbwi la umasikini, ni lazima lizingatie umuhimu wa kuwaamsha kifkra vijana ili kuwaza zaidi kujikwamua kiuchumi. Vijana wengi wa Kiafrika tumekuwa na ushawishi mdogo katika maswala ya...
  10. F

    Vuguvugu la mapinduzi lanukia Urusi. Wagner group yafarakana na vikosi vya serikali. Askari watanda miji yote mikubwa. Putin kuongea muda mfupi

    Ndio habari zinazojiri huko Urusi. Kiongozi wa Wagner Group kikundi cha wapiganaji binafsi kilichokuwa kinaisaidia Urusi kwenye vita Ukraine amefarakana na waziri wa ulinzi wa Urusi. Kumekuwa na hali ya hatari kote Urusi na watu kuamriwa kubaki majumbani. Kiongozi wa Wagner Group anashutumiwa...
  11. H

    Hezekiah Ochuka: Mwanajeshi aliyeitawala Kenya kwa saa 6 tu baada ya kutekeleza mapinduzi

    Huyu Mwamba, mnamo mwaka 1982, alimfurusha Rais Moi Ikulu na akachukua nchi. Ilikuwa hivi!! Hezekiah Ochuka, alikuwa ni mwanajeshi wa Kikosi cha Anga cha Jeshi la Kenya. Inasemwa alikuwa ni rubani matata sana na mtundu. Mwaka 1982, akiwa kikosi cha anga, aliamua kuteka Airforce One na kuingia...
  12. Mapinduzi ya Zanzibar Januari 1964 yalikuwa ni ushindi na neema kubwa kwa Emirate of Dubai

    Tukiitazama historia ya Dubai au UAE kwa ujumla, Oman, mwambao wote wa Zanzibar na bandari takriban zote za nchi za mashariki ya kati mpaka India na Asia ya mbali,utakuta kulijuwa na mwingiliano mkubwa wa kibiashara kati yao. Bila shaka ni historia ndefu sana na ya zamani sana, kwa ufupi, leo...
  13. Waarabu waliapa kurudi Zanzibar, Je yanaoendelea ni mapinduzi ya Afrabia?

    Je mnakumbuka kitabu cha Dr. Harith Ghassany aliyeandika kitabu chake cha Kwaheri Ukoloni kwaheri Uhuru, ambacho Mzee wetu Mohamed Said(Yumo humu) alikuwa ni research assistant wa kitabu hicho. Mzee wangu Mohamed Said najua una mengi ya kuzungumzia kitabu kile ambacho kwa kiasi kikubwa...
  14. Barua ya wazi kwa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Rais Hussein Mwinyi

    MH. RAIS, POLE KWA MAJUKUMU MAZITO UNAYOKABILIANA NAYO TANGU UTWISHWE JUKUMU HILI ZITO LA KUONGOZA VISIWA HIVI VYA ZANZIBAR pale wakazi wa visiwa vya Unguja na Pemba walipokuchagua kuwa kiongozi wa visiwa hivi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Hadi sasa sisi wakazi wa visiwa hivi tunaziona...
  15. M

    SoC03 Jinamizi kwenye tasnia ya uandishi wa habari,Yahitaji mapinduzi na mabadiliko chanya

    Utangulizi. Habari wanajamvi.Katika karne hii ya Teknolojia na Utandawazi,asilimia kubwa ya watu hutamani kujitupa kwenye Uandishi wa habari.Uwepo wa mitandao ya kijamii ndio umezidi kurahisisha uwasilishwaji wa habari.hii inapelekea kila mtu atamani kutoa habari bila kujali amesomea au...
  16. Kumcheka mtu mwenye medali ya CAF wewe hata huna ya mapinduzi ni kisokorokwinyo

    Kama unaona kuchukua ubingwa wa CAF mwepesi,shiriki wewe ufike final..sio una ishia robo final tu. Unatuletea medali za chuma za 93 ..watu tuma medali mpya za jana. Unatuletea roho mbaya sisi nani aliyekuambia ushabikie kolo fc nanii. Acha roho mbaya wewe pushy.. Fika final usituretee roho...
  17. SoC03 Mapinduzi ya elimu katika kuchochea utawala bora na mabadiliko

    Elimu ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na ustawi wa nchi. Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la mjadala na hamasa kuhusu mabadiliko na utawala bora katika nyanja ya elimu. Mada hii inazungumzia umuhimu wa kuleta mabadiliko katika mfumo wa elimu ili kuboresha ubora wa...
  18. Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Leo nimekutana na clip ya Chars Hilary akiongea akitanabaisha kuwa kuna hekta elf 6 wilayani Bagamoyo ni mali ya serikali ya Zanzibar na mtu kutoka bara haruhusiwi kufanya shughuli za aina yoyote ndani ya ardhi hiyo kwani sio mali ya serikali ya Tanzania bara. Jambo hili limenisikitisha sana...
  19. L

    Kampuni ya Alibaba yaleta mapinduzi makubwa duniani katika kuendesha biashara ya mtandaoni

    Tunapozungumzia soko la biashara ya mtandao wa internet duniani, basi bila shaka nchi ya kwanza inayokuja kwenye vichwa vya watu wengi ni China. Kwa sasa China imeliteka soko hili na kuwa kinara duniani, ikizalisha karibu asilimia 50 ya miamala duniani. Soko la biashara ya mtandaoni la China...
  20. Rais Samia futa umaskini Tanzania kwa mapinduzi makubwa ya kilimo. Unaweza

    Pongezi kwako Mh Rais wetu kwa mageuzi yenye tija ktk nyanja kadhaa. Maendeleo ni mchakato endelevu na wenye kuhitaji dira imara na maamuzi thabiti ya kimapinduzi. Tunajenga miundombinu (Barabara,Viwanja vya ndege, Bandari, Vyuo, mifumo ya umwagiliaji,usambazaji maji na kadhalika gharama kubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…