mapinduzi

  1. Kiongozi wa Wagner aponda jeshi la Urusi na kusifia la Ukraine, atahadharisha mapinduzi

    Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi ====================== 02:18 - Source: CNN CNN — A new “revolution” could rock Russia if its stuttering war effort in...
  2. SoC03 Mapinduzi ya Kiteknolojia katika Sekta ya Afya nchini Tanzania

    Utangulizi: Sekta ya afya ni msingi muhimu wa maendeleo ya jamii na uchumi wa Taifa lolote. Katika Tanzania, kuna umuhimu mkubwa wa kufanya mabadiliko ya kiteknolojia ili kuleta mabadiliko chanya katika uwajibikaji na utawala bora katika sekta ya afya. Kwa kuzingatia umuhimu huo, takwimu...
  3. Video: mapinduzi ya unguja

  4. SoC03 Mapinduzi ya Teknolojia ya Digitali yanavyoweza kuleta Maendeleo ya kiuchumi, kisiasa na kijamii

    Salama waungwana, Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
  5. Akumbukwe John Okello, Baba wa Taifa la Zanzibar. Bila huyu leo Zanzibar wangekuwa bado Utumwani

    Huyu ni Mmoja wa Mashujaa wa miaka ile aliyeshiriki kuwaondoa Makoloni huko Zanzibar. Kama ambavyo Bara nao walikuwa wameondoa wao. Anasimulia mzee wangu ambaye alikuwa Mwalimu Chuo Kikuu cha Dar es Salaam miaka hiyo Che Guavera alikuja Tanzania mwaka 1965. Anasema Che alijaribu kuulizia habari...
  6. Kuna umuhimu wa kufutilia mbali vyama vya upinzani vilivyopo ili kuleta mapinduzi ya siasa Tanzania

    Habari wakuu, hamjambo? Sote tunajua vyama vya upinzani ni dhaifu kwa sasa (hata kama mkikataa) katika mapambano dhidi ya ufisadi. Nina wazo moja hapa japokuwa la kijinga, hivi mnaonaje tukiwapotezea hawa ma-agent waliojivika ngozi ya upinzani ili wapoteane tutafute namna ya kusonga mbele?
  7. Ombi kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ)

    Ombi kwa serikali iwasaidie wananchi wa Fuoni meli tano sheli, shehia ya Mnarani, kuhusu nyumba namba SH. MNR. 08/101 Ni kero zaidi ya kero kwenye mtaa, wanauza pombe za bia wakiwa hawana leseni pia pombe za kienyeji aina ya gongo na bangi wakati pombe hizi ni haramu kwa mjibu wa sheria...
  8. Nakitabiria kifo Chama cha Mapinduzi

    Sijawahi kupiga ramli wala si mtabiri ila kwa yanayoendelea nchini na kwa manung'uniko ya wananchi kila mahala ,si ajabu hiki chama kiko mbioni kuvifuata vyama vyenzake vya ukombozi huko mahala pema. Watanzania wa sasa wamebadirika mno, nadhani zamani kidogo ilikuwa tofauti ila sasa kila...
  9. F

    Chama Cha Mapinduzi kinahusika na ubadhirifu huu

    Tumesikia repoti ya Mdhibiti na Mkaguzu Mkuu wa serikali (CAG) ilivyoweka wazi ubadhirifu wa matrilioni ya fedha za watanzania. Inasikitisha kuona jinsi fedha za maskini wa nchi hii zikitumika vibaya na kuishia matumboni kwa wachache. Chama tawala kimekuwa kikijinasibu kama msimamizi wa...
  10. Uwekezaji, mikakati na mapinduzi makubwa ktk kukuza utalii. Tunaweza

    Ufaransa (France) inapokea watalii si chini ya milioni 80 kila mwaka toka kote duniani. Paris ikiwa kitovu cha kupokea watalii husika. Lakini pamoja na wingi huo wa watalii, Ufaransa haina vivutio vya utalii kwa wingi kama ilivyo Tanzania, Kenya ama Afrika ya Kusini. Msingi mkubwa wa watalii...
  11. Kiongozi wa upinzani wa Belarus apewa kifungo cha miaka 15 jela kwa tuhuma za kupanga mapinduzi

    Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la mapinduzi. Uamuzi huo yeye ameutaja kuwa adhabu ya kujaribu kukuza demokrasia ya Belarus...
  12. Raila Odinga anachofanya kwa sasa ni uasi sio siasa. Anajaribu kutaka kufanya mapinduzi. Ruto hapaswi kuwa mpole kupitiliza

    Nimeona kitu kinachoitwa uhuru wa kidemokrasia kwa nchi za Afrika ni ujinga mtupu! Kwa hali ilivyo hapo Kenya kwa Sasa sio uhuru ni ujinga na ni ulofa wa kisiasa. Maandamano yale anayofanya Odinga na kuwashawishi watu wapindue Serikali sio ya kuyafumbia macho hata kidogo! Kama katiba ya Kenya...
  13. Video: Kauli ya mwanachama huyu wa Chama Cha Mapinduzi inazidi kuwachanganya Watanzania

    Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika. Kwa muda wa miaka mingi kumekuwa na tuhuma nyingi zinazomuhusu huyu jamaa. Wengi wakidai kwamba mwanachama huyu ni jasusi maalum ambae yuko katika kiti kile kwa sababu maalum. Moja kati ya sababu...
  14. Nigeria: Jeshi lakanusha tuhuma za kufanya mapinduzi kabla ya Uchaguzi Mkuu

    Jeshi la Nigeria limejibu tuhuma hizo zilizotolewa na Chama tawala kuwa kuna mpango wa kuvuruga Uchaguzi wa Urais unatarajiwa kufanyika Februari 25, 2023 Chama cha APC kilidai kuna viongozi wa juu wa Jeshi walikutana kwa siri na mgombea Urais wa Chama Kikuu cha upinzani, PDP, Atiku Abubakar...
  15. Shukrani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Tabora

    Kwa niaba ya Wananchi wa Jimbo la Igunga, Ninatoa shukrani kwa Chama chetu CCM Mkoa wa Tabora kwa kutupa heshima Wana Igunga kuwa wenyeji wa maadhimisho ya Miaka 46 ya Kuzaliwa kwa Chama cha Mapinduzi (CCM). Maadhimisho yamekuwa hamasa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii katika kuleta...
  16. CCM ina misingi imara sana; kama wewe ni mpinzani na unabisha umeshafeli

    Nimeamka nikiwaza hali ya upepo wa siasa za Tanzania. Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, vingi vyenye viongozi wanaoangalia maslahi yao wenyewe, wasiojenga vyama kwa nia ya kuliendeleza taifa bali kwa maslahi yao binafsi. CCM ipo sana bado, haing'olewi leo wala kesho. Vyama vingi ni vizuri...
  17. Mpaka sasa Bashe ndiyo kijana mzalendo wa ukweli atakayeleta mapinduzi ya kilimo na uchumi

    Wasalamu wana JF, Wakati vijana wengine wako busy na ku-bet, Bashe ni kijana anayetaka kuleta mapinduzi ya kweli ya kilimo na uchumi Kilimo ni biashara kama biashara nyingine, na kwa bahati nzuri sehemu kubwa ya raia wetu wanajishughulisha nayo. Sasa basi, ukiongeza thamani ya mazao, yaani...
  18. Mbunge Nicholaus Ngassa apongezwa na CCM wilaya ya Igunga kwa mchango wake ndani ya Chama Cha Mapinduzi

    📍 Igunga, Tabora Habari Picha: Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akipokea cheti cha pongezi kutoka kwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Igunga Ndg. Mafunda Temanywa kwa ajili ya kutambua mchango...
  19. M

    Hizi roho za watu wasio na hatia waliouawa siku ya mapinduzi ya Zanzibar January 12, 1964 zinahitaji kutendewa haki

    Wengi tunaambiwa kuwa yale ni mapinduzi matukufu. Lakini tusichoelezwa ni kuwa yale yalikuwa na viashiria vyote vya mauaji ya Kimbari. Watu wasio na hatia waliuawa mchana kweupe. Wakati mapinduzi yakifanyika kuna Waitaliano walikuwa wanazunguuka na Helicopter na kuchukua video mbalimbali...
  20. M

    Shaka: Kabla ya Mapinduzi Matukufu lipo tabaka lililokandamiza, kubagua na kupuuza wengine huku likishindwa kujali "UTU" na kuwapuuza walio wengi

    Na Mwandishi wetu Z'bar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinajivunia mabadiliko makubwa yaliyofikiwa Zanzibar katika kipindi cha miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ambayo yamewafanya wananchi kujiamini na kujiitegemea kimaendeleo alisema Shaka Hamdu Shaka, Mwenezi CCM Taifa Aliendelea kwa kusema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…