Mwenyekiti wa Kamati ya Rufani Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara Khalifan Matipula ametoa wito kwa wagombea ambao hawajawasilisha mapingamizi yao kuyawasilisha mapema ili yaweze kufanyiwa kazi kwa wakati.
Pia soma: Lindi: Wasajili wasaidizi wa Uchaguzi wadaiwa...
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa mtandao wa X
"Kata ya Marangu Mashariki Kijiji cha Lyasongoro Msimamizi wa uchaguzi amewawekea wagombea wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADEMA) mapingamizi na kuonyesha kua mapingamizi hayo yameandikwa na wagombea wa CCM. Baada ya wagombea...