Wanaume sio sana, ila kwa utafiti wangu wanawake, Wanafunzi na watoto wadogo wa kike na wa kiume wanapenda chakula hiki kuliko kitu chochote.
Tena cha ajabu hata wakipikiwa nyumbani wanasema za nyumbani sio tamu.
Cha ajabu zaidi hata uwatoe watu mikoani waliozoea ugali wa udaga au mtama ndani...