Samaki, dagaa na maharage vikiwekwa nazi huwa vyakula vizuri vinavyovyutia kula na ladha ya kueleweka. Nazi kwenye vyakula vingine vingi huwa naona overrated sana.
Sijui ni nini hasa huwa kinawafanya watu watokwe na udenda au kusifia sana wali nazi, nyama nazi, bamia nazi, kisamvu nazi, tambi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.