mapishi ya nazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mapishi ya nazi ni overrated sana kwa vyakula vingi

    Samaki, dagaa na maharage vikiwekwa nazi huwa vyakula vizuri vinavyovyutia kula na ladha ya kueleweka. Nazi kwenye vyakula vingine vingi huwa naona overrated sana. Sijui ni nini hasa huwa kinawafanya watu watokwe na udenda au kusifia sana wali nazi, nyama nazi, bamia nazi, kisamvu nazi, tambi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…