mapishi ya youtube

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. haszu

    Mke wangu ametulaza njaa kwa mapishi ya YouTube

    Niliambiwa kuna chakula nipikiwe, chakufanya, nimtume boda ingredients, nikasema sawa. Ingredients zikaja, mapishi yakaanza, na tukaandaa matumbo ya chakula kizuri. Chakula kimeiva, kila anaekula haelewi, sasa sijui kakosea steps au ni vipi ila haya mapishi ya YouTube sio poa kabisa.
Back
Top Bottom