mapito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

    Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa... Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka...
  2. Vijana wa 2000's namna wanahesabu mapito yao! Gen-Z

    Vijana wa mwaka 2000 mpaka sasa inasemekana ni hatari sana. Wanahitaji ushauri. Vijana hawa wamekuwa wakionekana wakiwa wanashindana na "walipotokea" Huyu mwamba kwenye picha, kila akipita na Mdada anahakikisha anabaki na "kufuli"lake na kulibandika ukutani! SWALI KWA MSOMAJI: Je, wewe nguo...
  3. Je, ufanye nini kwa waliokuwa wakikudharau, wakikucheka, wakikusanifu na kufurahia mapito yako maishani pale mwenyezi mungu akikubariki kuwazidi?

    Je, 1. Uwalipizie Kisasi? 2. Uwasamehe na ikibidi Uwasaidie baadhi yao? 3. Uwafanyie Kufuru ya Kimatumizi? 4. Kama ni Wanaume basi kwa Makusudi utembee / ulale na Wake zao? 5. Kama ni Wanawake basi Ulale nao ( Uwakaze ) bila Huruma? 6. Uwatambie kwa Kuwakera 7. Unyamaze, utumie muda wako mwingi...
  4. Mfahamu Ferruccio Lamborghini, mwanzilishi wa kampuni ya LAMBORGHINI, mapito yake binafsi ya kimaisha na kampuni yake mpaka sasa

    KARIBU SANA MWANA JAMIIFORUM TUJIFUNZE na ruksa kukosoa chapisho. FERRUCCIO LAMBORGHINI Zamani nilinunua magari mashuhuli sana ya gran Turismo na katika kila hizi gari nililinunua niliona zina mapungufu. Yana joto sana, au hayakupi ile starehe, au hayana kasi ya kuridhisha au hayajamaliziwa...
  5. Umuhimu wa kuthamini mapito yako

    Usimahau aliyejitoa kidogo alichokua nacho ili akukwamue katika shida zako. Alisimama kama ngazi ukapita , basi nawe simama kama ngazi apite au kipite kizazi chake hiyo ndiyo hekima, busara na mapenzi ya kweli.
  6. P

    Nani amefanya mwaka wako kwenda vizuri hata pale ambapo uliona hutatoboa? Chukua nafasi hii kumshukuru kila aliyesafisha njia yako ukapita bila shida

    Habari Wanajf? Kuna kipindi tunakutana na magumu kwenye maisha mpaka unaweza kufikiria kukata tamaa, lakini kwenye yote hayo kuna watu wamekuwa msaada kwetu kutunyanyua kila tunapoanguka, kutupangusa vumbi na kuhakikisha tunafika tunapotakiwa kufika. Watu ambao ushauri wao umekuwa msaada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…