Inaonekana dereva wa polisi alimuacha Afande mwenzake kwa bahati mbaya sasa wamekuja kukutana mtaani wakaanza kutukanana na baadaye wakaanza kupigana.
Je, ni sahihi Polisi kupigana hadharani?
Bunduki hizi watoto wanazoona Kila siku kwenye TV? Zikiua watu?
Vitoto vya darasa la Nne? Badala ya Kujibu mtihani kanabaki kuwaza mibunduki, pengine wanawaza watakufa?
Acheni mazoea ya Kijinga, zama zimebadilika.
Kumekuwa na kasumba kuwa kesi nyingi zikifika polisi na mtuhumiwa akapelekwa mahakamani basi walalamikaji wanakosekana na mtuhumiwa kuachiwa huru.
Lakini tujiulize je ni kweli sheria inaamua haki? Kama polisi walithibitisha kweli mtuhumiwa ameletwa na raia na ametapeli kweli kwanini kusiwe na...
Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000.
Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
Mheshimiwa Tundu Lissu sijui kwa uumbaji, malezi, usomi, au ujuaji amekuwa akiwaita wananchi wetu walioajiriwa jeshi la polisi kwa jina la MAPOLISI badala ya polisi au askari wa jeshi la polisi- hii siyo staha hata kidogo. Kwa kuwakosea staha anategemea nini kutoka kwao...
Habari zenu nina imani mwabuheri wa afya.
Nadhani baadhi yetu tunasikia sana namna hao wadau tajwa hapo juu wanavyoopewa sana Kwa kupasua anga za mbususu, je wana utofauti gani wengine kiasi kwamba wanakuwa na utisho Kwa majirani Zao wenye wake.
Wana pepo gani Mtambuka kuwazidi wengine, au...
Hiyo ndiyo habari ya kiuchunguzi inayosambaa Duniani kwa kasi mno!
Mapolisi elfu 2 ya Kenya ni mehu/machizi.
====
Mkuu wa huduma ya kitaifa ya Polisi nchini Kenya, Inspekta Jenerali Hilary Mutyambai amesema takriban maafisa 2,000 wa Polisi nchini humo hawana uwezo wa kiakili kufanya kazi yao...
Habarini ndugu zangu,
Napendekeza tuanze utaratibu wa kuwatembelea askari wetu wa jeshi la Polisi katika vituo vyao vya kazi kwa ajili ya kuwaonyesha upendo, kuwajali na kuwatia moyo katika kazi zao.
Tunaweza kwenda na soda, au juice na kuwagawia kwa kunywa nao na kupiga story zenye tabasamu...
Tangu kesi ya Mbowe ianze ilielezea kidogo sana matukio ya Moshi ambako ndiko tulitegemea milango ilifanyika, sana tulichoshuhudia mbege party, manunuzi ya vocha za simu na safari za hapa na pale.
Wengi walitegemea hatua ya mwanzo wangeona zana za kutendea ugaidi kama vifaa vya kushambulia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.