1. Maprofesa wetu wapo wapi waelezee tafiti zao za Nishati kupitia energy summit? UDSM, MUST, Mzumbe, UDOM?
2. PhD holder level zenu si kujadili uchaguzi Serikali za mitaa, Hizi ndio level zenu. Sisi Ngumbaru tunawategemea sana.
3. Tafiti za Factors affecting.. zimepitwa na wakati
THE KINDIKI FAMILY
1. Prof. Jonah Nyaga Kindiki, International Education and Policy, Dean of Faculty of Education, Moi University;
2. Prof. Isaiah Iguna Kindiki, Soil Science, Vice Chancellor, KCA University;
3. Prof. Moses Mpuria Kindiki, a Political Economy and Development Researcher...
Familia ya Naibu Rais mteule Kenya Profesa Kithure kindiki inao maprofesa watano na madaktari wa falsafa watarajiwa 4!
Wadau hamjamboni nyote? Familia bora kabisa kitaaluma. Niwatakie siku njema.
Hivi hapa Tanzania, vyuo vingine havinaga wasomi na maprofesa , maana kila teuzi ni wasomi na maprofesa kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Nyie vyuo vingine serikali wasomi wenu vipi?
Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu.
Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
Watafiti kumi na wanne kutoka vyuo vikuu vya Israel wametunukiwa tuzo za Hali ya Juu na Baraza la Utafiti la Ulaya (ERC), ilitangazwa Alhamisi.
Tuzo za utafiti zinazofadhiliwa na EU kila moja ina thamani ya takriban euro milioni 2.5 (dola milioni 2.68), iliyotolewa kwa miaka mitano, na euro...
Wabobezi ktk fani ya lugha Profesa Aldin Mutembei UDSM, Prof. Mabala na Prof. Raymond Mosha wa chuo nchini U.S.A wajitosa katika mjadala mzito wa TAHASUSI / COMBINATION mpya zinazotegemea kuaza kutumika
https://m.youtube.com/watch?v=bnGuW-H_OeY
Yalitakiwa wajadiliwe kwa upana ili umma mpana...
KAGERA: "Kagera ni mkoa wenye biashara, una ardhi nzuri yenye rutuba, wasomi wa kutosha wakiwemo maprofesa 666, lakini ni mmoja wa mikoa yenye mapato madogo zaidi.
“Kila kitu mnacho kwa nini mapato ya mkoa huu yapo chini kuliko mikoa yote? amehoji Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana -...
Leo tuangalie kazi za kitaaluma za Maprofesa wetu kimataifa eg. Google scholar.
1. Anthony Mshandete, 2439 citations
https://scholar.google.com/scholar?hl=en&as_sdt=0%2C5&q=mshandete&btnG=
2. Kitila Mkumbo...
Tuchukulie Profesa amefundisha pale jalalani Kwa uaminifu miaka yote.
1. Akistaafu anapata Kiasi gani cha pensheni?
2. Inachukua miaka mingapi kuupata huo uprofesa?
3. Je baada ya kustaafu anaweza kumudu maisha Kwa kutegemea pensheni au ndo anageuka kero Kwa kuomba omba?
NB: wasomi...
Tukiambiwa Tanzania ni Nchi ya wajinga hatutakiwi kubisha.
Yaani Taifa lenye watu takribani Milioni 65 linakuwa na Maprofesa 226 huku Full Professors Wakiwa 63 na Associate Professors Wakiwa 163 tuu,na hizi ni takwimu za 2023.
Tukilinganisha na Wenzetu Kenya wao wana maprofesa 1,619 Kwa...
Uvivu wa Maprofesa wetu wa sheria umesababisha haya.
Kwani katiba ilioruhusu Zanzibar kuwa na serikali yake kamili, huku Tanganyika ikiwa haina serikali nyingine yake yenyewe, kwanini katiba hio sasa ikaruhusu Mzanzibari kurithi Urais wa serikali hii badala ya siku zote kuishia umakamu wa Rais...
Kuna tapeli mmoja wa mtandaoni anayejiita Prof. Veriani Samweli Maswayaga sidhani kama ni jina lake halisi. Huyu bwana anashirikiana na mwana mama wa kizungu kuwarubuni Maprofesa wastaafu kuwa wana world Bank project ya mazingira hivyo wanahitaji washauri wa kufanya nao kazi kwenye miradi yao...
Nilitegemea hawa wasomi wa ngazi za juu kujitokeza hadharani kutoa maoni yao kuhusu hiki kinachoendelea nchini, badala yake wanagugumia chini chini tu.
Sasa ikiwa hawa watu wenye jukumu la kubrush akili za vijana wetu wanakuwa waoga kiasi hiki, vipi hawa wasomi wanaoingia mtaani kama matokeo ya...
Naomba niseme ukweli kwamba ukitembea vyuo vikubwa Duniani utabaini Ofisi za waalimu ( Tutorial/Dr/Prof) NI eneo ambalo mnaweza mkakaa nakufanya majadiliano mkiwa na facilities zote.
For the first time nimefika university of Dar es salaam kumwona rafiki yangu ambaye nilisoma naye Ila Kwa sasa...
Tatizo la Law School si dogo ambalo ati kila Tom, Dick au Harry anaweza kuwa na ufumbuzi au ushauri.
Kwa sampuli hii:
1. Profesa Cyriacus Binamungu (Mzumbe): anasema kuna shida kwa walimu katika taasisi hiyo (LST).
“Wanafunzi wanaandaliwa vizuri (vyuoni) isipokuwa kutakuwa na shida LST...
"SIRI YA ELIMU ILIYOFANYA WAKOLONI WAKAFANIKIWA NA WAKATUACHIA ELIMU INAYOTUFANYA KUENDELEA KUWA WATUMWA"
ELIMU YA UJUZI BINAFSI, USTADI, UFUNDI NA UBUNIFU NI MAJIBU YA KUWA NA AJIRA, UKUAJI WA UCHUMI, BIASHARA NA MAENDELEO YA VIWANDA.
Unaweza Ukajiuliza, Ilikuwaje wakati wa wakoloni kulikuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani.
Taarifa: Ikulu Tanzania
Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
Watanzania wamepiga kelele we mara wakateuliwa maprofesa kushika Wizara ya Elimu na wakatueleza tutulie mabadiliko yako yanafanyiwa kazi.
Niseme kitu kimoja " Sijawahi kuwaamini maprofesa wetu", nahisi watastup[iga na kitu kizito.
Nimefuatilia michango ya maprofesa wetu mpaka juzijuzi hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.