Raisi Samia ni mwanasiasa lakini anapenda umashuhuri kama Trump. Mapungufu yanakuja pale ambapo
Uchawa unazidi
Uzalendo. Angetakiwa kupenda vilevile haki, kupenda kupigana na rushwa kama anavyopenda umashuhuri. Atapata shida akimaliza uongozi maana watambadilikia hao machawa fake
Leo Februari 5, Chama Cha Mapinduzi kimetimiza miaka 48 tangu kianzishwe. Chama hicho kinaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mkoani Dodoma ambako Mwenyekiti wake wa Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi.
Kwa vile takriban wiki nzima kabla ya sikukuu hiyo, viongozi na wanachama wa...
Tatizo la viongozi hawa Mama zetu ni kwamba wanaogopana wenyewe kuliko kuogopa viongozi wanaume. Tuone tu mfano wa huyu Mama
Viongozi wote wanawake ambao yeye mwenyewe ndiye alikuwa anataka kuwa kama wenyewe ndiye wa kwanza kuwaogopa.
Akiona wanapata sifa zaidi yake Mama Samia amekimbilia...
Hayati Magufuli alituchukia sana wapinzani ,kwake yeye aliamini wapinzani ndio wanarudisha nyuma Maendeleo na ni vibaraka wa Mabeberu.
Kwake yeye lolote litakalo mkuta mpinzani awe ana husika nalo au hausiki nalo ni halali yake na hawezi shughulika nalo .
Hilo ndilo lilikuwa tatizo kubwa...
Lojiki ya kufikiria ya Watanzania wenzengu mara nyingine inaniacha nashindwa kuwaelewa. Sielewi kwa nini suala la Mbowe na Lissu kugombea uenyekiti liwe jambo linalotishia uhai wa Chadema.
Tukirudi nyuma, hatuwezi kusema Nyerere aliacha uongozi kwa sababu aliishiwa fikra sahihi na ghafla Mwinyi...
Nadhani wote tunakumbuka tulishirikishwa kutoa maoni ili yaingizwe kwenye dira hii, lakini cha kushangaza baadhi ya maoni hayakuzingatiwa na kuwekwa ikiwa na maana aidha yalikuwa hayana maana sasa ninachouliza kwa wenye uelewa ni utaratibu gani ufanyike ili malalamiko yawafikie walengwa au ndio...
Niliwahi kusikia miaka ya zamani lissu akimtweza baba wa taifa mwalimu nyerere
Nikamueleza rafiki yangu kuwa huyu mtu hatafanikiwa kisiasa Tanzania,he will end up like siasa za mtikila
Mtikila mwishoni aligeuka laughing stock sio
Lkn nampongeza lissu kitu kimoja sio mfisadi hata kidogo
Kwa...
Jinsi nchi ilipofika, imekuwa shamba la bibi kila mahali, watu wana ina pesa,sana , ufisadi, uvivu,uzembe, namwona Paul makonda angetufaa sana kama angeshika nchi 20230.
Ili aweze kurudisha uzalendo ndani ya nchi yetu. Ukimsikiliza speech yake ya leo ya arusha utajua kuwa ni kiongozi bora.
Leo...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, licha ya kuwa msingi wa utawala na sheria nchini, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kadhaa ambazo zimeibua mijadala kuhusu umuhimu wa kuifanyia marekebisho au kuandika katiba mpya. Baadhi ya mapungufu yake ni pamoja na:
1. Madaraka...
Customer service au huduma kwa mteja ni sehemu nyeti sana ya biashara yoyote duniani, ni kioo cha mwanzo cha biashara iwe inafanya kuuza bidhaa au kutoa huduma. Kuna baadhi ya makampuni ili wakupatie ajira basi lazma uwe na vigezo kama uso usio na chunusi, uso nyororo na mwenye umbo namba nane...
Kuna tukio nimeliona la Mmoja wa Mlinzi wa Kike wa Mheshimiwa Rais Samia kutoka PSU akimvuta mmoja wa Watu waliokuwa mbele yake na akiwa karibu kabisa na Rais kisha kumrudisha nyuma na Yeye ( huyo Mlinzi ) kuwa mbele kuendelea na jukumu lake la Kumlinda.
Najua wale wa PSU mpo sana hapa...
Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake.
Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi...
Je tuendelee kuamini Upinzani haiwezi kuongoza Nchi ?
Je tuendelee kuamini miradi ya hayati Magufuli haina manufaa kwa taifa kama tulivyoambiwa awali na sasa tunaambiwa kulikuwa na mkono wa ma Rais wa nyuma ?
Je tuendelee kuamini CCM inatuongoza katika njia sahihi kama wanavyodai ?
Je...
Uongozi wa klabu ya Simba umempa mkataba wa miaka miwili aliyekuwa kocha msaidizi wa Raja Casablanca, Fadlu David ambaye inaelezwa atatua nchini Ijumaa sambamba na wasaidizi wake.
Kocha huyo ambaye amethibitisha ujio wake Tanzania baada ya kutumia ukurasa wake mtandao wa kijamii ‘Instagram’...
Hivi karibuni nimekuwa nikipinga sana kushidwa kwa Raisi Samia kwenye kuleta katiba, sheria mbaya ya uchaguzi, uhusiano unao dorora kwa upinzani, mikataba ya sirisiri na kutokutumia nafasi vizuri.
Lakini kwa vigogo wa sasa wa CCM na hawa mawaziri wake hakuna mtu hata mmoja ambaye ni afadhali...
MAKAMU wa Rais, Dk.Philip Mpango amezindua chapisho la utafiti wa hali ya mazingira ya Pwani na Bahari Tanzania Bara huku akiagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuangalia mapungufu ya kisheria yanayosababisha kukosa nguvu katika usimamizi wa usafi wa mazingira ili...
Nimeona namna anavyojua kutatua migogoro na pande zote mbili zikamuelewa , anaelimisha, ni msikivu sana na penye ukweli anausema kama ulivyo. Pia yupo sensitive sana katika mambo yanayogusa amani na usalama wa Taifa.
Juzi nimeona jinsi alivyoendesha mkutano baina ya wananchi wa Oljoro ambao...
Mwanaume anayetafuta mke mfanyakazi ili asaidiwe baadhi yamajukumu ya kuendesha familia kwa mshahara wa mkewe ni dhaifu. Ana mapungufu makubwa kwenye uanaume wake.
Ndiyo maana wanadharaulika na kugongewa. Ushawahi kuwaona wake wa Mo, Bakhresa na mzee mengi (rip) wakiwa kwenye ajira? Hao ndiyo...
Kuna matukio mawili yameongozana yamedhihirisha ni wazi TFF ina watu wasiokuwa na uadilifu, wasiokuwa na maono na hawana upeo wa kufikiria, kuchambua vitu kwa kina.
Tukio la kwanza ilikuwa ni kitendo cha kupeleka fainali ya kombe la CRDB federation cup Manyara. Tukio la pili ni kitendo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.