mapungufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

    Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi. Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali? Aliyemsafi ndio akosoe. Those with clean hands must come to Equity
  2. CHADEMA yapinga Bima ya Afya kwa Wote, yadai ina mapungufu

    BUNGE LA WANANCHI: KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)! “Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa” I. UTANGULIZI Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
  3. SoC02 Mikopo ya 10% isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali. Mapungufu na ufumbuzi

    Mamlaka za Serikali za Mitaa zinatenga 10% ya mapato yakekwajili ya kutoa mikopo isiyo na riba kwa vikundi vya wajasiliamali vijana, wanawake na watu wenye ulemavu nchinzima. Sheria inayosimamia mikopo hii inatoa mwongozo kwa watendaji husika kuhusu kusimamia upatikanaji wa fedha kwaajili ya...
  4. Mapungufu yangu naona ndio sababu

    Habari za mchana, Nina mapungufu mengi nikiwa kwenye mahusihano, moja ni kutojua kufoka yaani nashindwaga kabisa kumfokea mtu niliyenae kwenye mahusihano. Na kama amenikosea basi nikiaza kumuelekeza kwa upole naamini ndio njia rahisi na nzuri basi anapanda juu na mimi nikiona mtu kapanda juu...
  5. A

    SoC02 Mapungufu ya mfumo wa Elimu ya Tanzania yalivyonifanya niteseke kwa zaidi ya miaka 7

    Inawezekana ikawa mfumo wa elimu Tanzania ni mzuri kwa wengine Ila kwangu mimi mfumo huu unamapungufu mengi Na ulinifanya niteseke kwa miaka 7 nikitafuta maisha. Nitasimulia Hadithi ya maisha yangu . Mimi nimezaliwa mkoa wa Kagera ,wilaya Ya Bukoba vijijini.Nimesoma Elimu ya msingi mwaka...
  6. SoC02 Mapungufu ya kiutawala Tanzania na suluhisho lake

    UTAWALA (BORA) Uwepo wa Uongozi na serikali mbalimbali una lengo la kuleta maendeleo kwa wananchi wanaowaongoza na njia mojawapo ambayo ni kiungo muhimu cha kufikisha maendeleo hayo kwa wanachi hao ni utawala, hivyo utawala ambao ni bora ukizingatiwa ni wazi maendeleo na matokeo chanya...
  7. NBS, Mchakato wa usaili una mapungufu

    Leo ni siku ya USAILI kwa watu walioomba nafasi za ajira za ukarani wa sensa itakayofanyika tarehe 23 Agosti 2022. Nilichoshuhudia ni uwepo wa dosari katika mbinu ya kuwapata watakaopewa ajira ya muda katika zoezi hilo. USAILI kwa njia ya mdomo na walioteuliwa kufanya usaili. Wasimamizi wa...
  8. Kocha Stuart Baxter niliyemfahamu mwaka 2004 hadi 2005 na 'Mapungufu yake si Kocha sahihi Kuifundisha Simba SC yetu

    Kama kawaida yako Madam Kiherehere na Kukurupuka CEO Barbara Gonzalez na Uongozi wa Simba SC kwa kupenda Kwenu Kukurupuka hasa pale linapokuja Suala la Kuajiri Makocha. Kocha Stuart Baxter ambaye GENTAMYCINE nimehakikishiwa na Vyanzo vyangu aminika kuwa ndiyo Simba SC watampa Kandarasi...
  9. Milango ya chuma ni Bora dhidi ya mchwa,lakini ni zipi faida zake zaidi na ni yapi mapungufu yake?

    Siku za hivi karibuni kumekuja ubunifu wa milango ya chuma, Milango hiyo mwanzo ilianza kuonekana ktk maduka ikitokea nje ya nchi. Lkn bahati nzuri pia mafundi wetu wa vifaa vya grill nao wameanza kutoa milango kama hiyo ya nje lakini walitengeneza kwa mabati magumu sana wakiunganisha kwa...
  10. L

    CHADEMA tunayo mapungufu mengi sawa ila hili sina hakika

    Kila Chama cha siasa nchini kina mapungufu makubwa sana na mengi . Ntamshangaa Mtanzania anayedhani Chama anachounga mkono hakina mapungufu! Nakuja Kwa CHADEMA Chama changu amabcho naamini sana katika falsafa zake kina mapungufu Kama vyama vingine Ambayo sitayaweka hadharani ila Kuhusu Suala...
  11. Tangazo la kazi lililotolewa na Wizara ya Afya lina Mapungufu

    Salaam, Kuna kazi zimetoka siku 2 hizi, zimetokea Wizara ya Afya zikitangaza kada tofauti tofauti, katika kada hizo pia kuna nafasi za madereva (4), lakini wameelezea vigezo na masharti ya kada zote walizoweka lakini hawajaweka maelezo kwa kada ya udereva. Je, mpaka tangazo hili limeameriwa...
  12. B

    Ripoti ya CAG Ina mapungufu makubwa ya kimantiki; "non-compliance" imetumika kama ubadhirifu kufurahisha umma

    Watanzania wengi wanaweza kujiuliza kwanini riport ya CAG Ina madudu mengi lakini Mhe. Rais na serikali Kwa ujumla awachukui hatua? Wanajiuliza awamu ya sita inafumbia macho wizi na ubadhirifu tofauti na awamu ya Tano? Lakini wapo wanaohoji kama madudu hayayamefanyika wakati wa JPM je mbona...
  13. Yawezekana kama Mwanadamu Idi Amin alikuwa na Mapungufu yake ila nimegundua Afrika ya leo iliwahitaji akina Amin wengi ili kupiga hatua

    Marehemu Idi Amin Dada.... 1. Alichukia Upuuzi (Upumbavu) 2. Alichukia Uonevu na Dharau 3. Aliwapenda sana Wananchi wake 4. Hakuwa Mnafiki na wa Kujipendekeza 5. Hakuwa Muoga kuipigania nchi yake 6. Hakuwa Fisadi (Mwizi) hata kidogo 7. Alikuwa Mbabe ili Kulinda nchi yake Sasa wakati...
  14. Je, Watanzania kushangilia vita ya Ukraine na Russia kama mpira wa miguu ni mapungufu ya akili?

    Ukipita Facebook, Twitter, Instagram au kwenye usafiri wa umma utakuta watu wako wanabishana nani atakuwa mshindi na kufurahia kipigo anachokipata Mrusi au Ukrainian. Je, ni umaskini wa akili au mali ndio hupelekea watu kushangilia mauaji? Kuna uwezekano kama mbongo angemiliki nyuklia dunia...
  15. M

    Je, kutoweka na kutoonekana kwa Paul Makonda si Uthibitisho kuwa TISS kuna Mapungufu makubwa na DG Msuya afutwe Kazi upesi sana?

    Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa...
  16. Hakuna baba ambaye hataki kuona watoto wake wote wanamtii, wanamheshimu na wanafanikiwa, tukubali tu kuwa kuna mapungufu

    Habari! Hapa nazungumzia hawa miungu au Mungu maarufu duniani ambao mafundisho yao yameenea sana. Dini hizi zilizoonea sana zinasema kuwa Mungu ni; - Baba(mzazi) -Muweza wa yote -Yupo kila pahali -Anajua yote --Muumba -Mwenye huruma. *****Atakayewachoma moto watu wote wasiomtii na watenda...
  17. B

    Tusimlaumu Rais Samia kwa mapungufu yaliyojitokeza kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri

    Rais Samia hivi karibuni alifanya mabadiliko kwenye safu ya mawaziri wake na katika mabadiliko hayo mengine yamelalamikiwa na mengine yamesifiwa. Katika yale ambayo inaelekea wananchi wengi hawakupendezwa nayo ni pamoja na Waziri Madelu Mwigulu Nchemba kuachwa kuendelea kuwa Waziri wa Fedha...
  18. Simba SC irekebishe upesi sana 'Mapungufu' ya hawa Wachezaji Watatu Inonga, Sakho na Morisson kwani yanaigharimu Timu

    1. Henock Inonga Nakiri ni Beki mzuri sana na nimekuja Kugundua pia kuwa kumbe ni Versatile na kwamba anaweza hata kucheza vyema tu Namba 6, Namba 8 na hata Namba 2. Mchezaji huyu tokea aicheze vyema ile Kariakoo Derby na kupata Sifa nyingi nae ameshajaa Upepo kiasi kwamba sasa anajiona ndiyo...
  19. Licha ya mapungufu yake lakini Samia Suluhu tunamuheshimu na kumtii kama Rais wa nchi hii,

    Ni utamaduni wetu huu, Baada ya kula kiapo tayari anakua na mamlaka lazima tumtii na kumuheshimu kama Rais wa Nchi, Pasitokee mtu yoyote kujifanya ana madharau yake kisa nafasi aliyopo na kuleta upuuzi wake, imekua hivyo tangu zamani kwanzia Nyerere, Mkapa Mwinyi Kikwete na JPM na hata...
  20. B

    Rais Samia kama binadamu ana mapungufu ila ana sifa zote za kuwa Kiongozi wa Nchi yetu

    Hakuna binadamu aliyekamikika, hivyo hata Mama Samia hajakamilika. Ila kiuongozi nitakuwa wa mwisho kukosoa na kusema Hana sifa ya kuwa Rais wa Nchi. Urais wa Nchi unaongozwa na sifa Moja kuu, Rais ni Mzazi Kwa Taifa bila kujali ana umri Gani. Mama anasimama kama mzazi kwetu. Jambo la pili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…