Anasema kwa mfano kama wewe ni mtu wa hasira sana na ukaendelea kuwa na hulka hio hadi wakati wa full moon basi itakupelekea kufanya jazba kubwa hata kwa vitu vya maudhi madogo.
Anasema pia sio kweli eti full moon inakupa nguvu hasi ndani yako bali ina zidisha energy iliopo., kama uliammka na...
Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
Wanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa...
Kwa Hapa nchini Tanzania ambayo Ili kuwa na mfumo wa kijamaa, kutoka TANU mpaka CCM.
CCM Bado Ina urafiki na nchini ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa kama washirika wake wakaribu. Na china (ujamaa) inaitumia fursa hiyo vizuri sana,Kwa kujiweka karibu sana na viongozi waandamizi wa chama...
Nimesikitika sana kusikia kuwa ni kweli aliyewahi kuwa Mchezaji wetu Louis Miquissone anarejea Simba SC.
Mwaka jana Novemba na mwaka huu March kuna Kiongozi Mwandamizi wa Simba SC alienda Kumfuatilia na majibu yake GENTAMYCINE niliyasikia yakisema.
"Hakuna Mchezaji tena pale na kama Tajiri...
Hata kama umefika Robo Fainali ya CAFCL mara Nne bado ni Kazi bure ( Work done Zero ) kwa yule aliyefika Fainali ya CAFCC.
Kwangu Mimi GENTAMYCINE yule aliyefika Fainali ya CAFCC ndiyo Mwanamume na Yule aliyefika Robo Fainali ya CAFCL namwona ni Mwanaume / Mtoto na kuna muda namwona kama Mtoto...
Waandishi wa habari 86 pamoja na watendaji wa vyombo vya habari waliuawa duniani kote mwaka 2022,kwa mjibu wa Taarifa kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, ikichambua zaidi ya kwamba takwimu hizo ni sawa na mmoja katika kila siku 4.
Taarifa ya UNESCO...
Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo mmoja.
Maswali ya kujiuliza;
~ Je, lengo la kupandisha gharama kwa kiwango kikubwa kiasi hiki ni...
Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati.
Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
Serikali haina budi kufanya lolote liwezekanalo kufanya Shule hizi za private zisipandishe ada kiholela. Zinaweza zikapunguziwa gharama za uendeshaji ili ziwe na nafuu kwa malipo huko serikali.
Baadhi ya Shule vikao vishaanza. Kuna ongezeko la ada la kutisha na wanajiamulia wenyewe kwa utetezi...
Wakuu hili ni wazo langu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu itafaa bei za vyakula na mazao mengine zipande ili kumsaidia mkulima..
Haya ni baadhi ya mabadiliko ya gharama za kilimo msimu huu ukilinganisha na msimu uliopita kwa hapa nilipo na hapa nazungumzia zao la mpunga
-Kukodi...
Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA, tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao.
Na soko la wa Russia litakufa kabisa. Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
Kama Wahenga wetu walivyosema'Ndege anayetaka kutua kwenye bua la mtama ale sharti Kwanza atue kwenye mti wa pembeni ili aone vizuri bua lenye mtama mzuri'.
Kujitolea ni Hali ya kufanya shughuli Fulani bila kutanguliza malipo au maslahi binafsi.
Mwalimu mmoja wa shule moja ya Msingi...
suffocate - hali ya kuteseka
Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele.
Serikali ya Tanzania ipo kwenye hali ya kuteseka.
Kumbuka Rais Samia aliahidi kuongeza mishahara kwa watumishi kwa asilimia 23 ila...
Wanajamvi na wafuatiliaji wa mambo,kuna habari nimeikuta mitandaoni imenishangaza sana.
Siku zote mataifa ya kiarabu hasa saudi arabia ni mfuasi mkubwa wa USA na EU, sasa leo yeye tu Saud Arabia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, halafu anaenda kununua mafuta mengi ya bei ya chini kwa...
TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki
hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD
nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua...
Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo, imeongezeka maradufu kulinganishwa na wanaume.
Akisoma taarifa ya mwenendo wa vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya mkoani Mwanza katika utangulizi wa Siku ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Mrakibu...
Perdiem.
Tsh
250k , 220k,170k,150k
kwa Jiji
200k,180k,150,130k
kwa Manispaa
130k,120k,100k, 80k
kwa Halmashauri
Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva.
Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41]
Wastaafu kulamba 33%...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.