maradufu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sandhguru anasema inapofika wakati wa full moon mwanadamu anapitia hali ya hulka zake kuwa kiwango cha maradufu pasipo kawaida

    Anasema kwa mfano kama wewe ni mtu wa hasira sana na ukaendelea kuwa na hulka hio hadi wakati wa full moon basi itakupelekea kufanya jazba kubwa hata kwa vitu vya maudhi madogo. Anasema pia sio kweli eti full moon inakupa nguvu hasi ndani yako bali ina zidisha energy iliopo., kama uliammka na...
  2. Naomba kujua kwanini ukimtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la 10% kutoka katika Mshahara wako huku ukiwa na Furaha nae hukubariki maradufu?

    Asante sana Kwako uliyenipa hii Elimu kwani tokea nianze Kufululiza kuhudhuria Ibada zangu Kanisa Katoliki na Kumtolea Mwenyezi Mungu Fungu lake la Kumi ( 10 ) Maajabu yanayonitokea ya Kimafanikio, Baraka na Neema huwezi kamwe kuyapata kwa Mganga wa Kienyeji au wale Waganga Watatu wa Madhabahuni...
  3. D

    Bei ya chai kwenye mighahawa imepanda maradufu

    Wanakambi, kuna mghahawa mmoja nilizoea kupata chai ya asubuhi na vitumbua maarufu kama "Kwa Mama P" ni hapa Mwenge jijini Dar es salaam. Siku zote tulikuwa tukiuziwa kikombe cha Chai Shilingi 150. Leo nimeshitushwa baada ya kumaliza kunywa chai yangu na vitumbua vinne (200@) badala ya kulipa...
  4. SoC03 Janja janja ya China kupata faida maradufu Yani (super profit)

    Kwa Hapa nchini Tanzania ambayo Ili kuwa na mfumo wa kijamaa, kutoka TANU mpaka CCM. CCM Bado Ina urafiki na nchini ambazo zilikuwa na mfumo wa kijamaa kama washirika wake wakaribu. Na china (ujamaa) inaitumia fursa hiyo vizuri sana,Kwa kujiweka karibu sana na viongozi waandamizi wa chama...
  5. Kwangu Mimi Makabi Lilepo ni bora maradufu ya Louis Miquissone aliyechoka na asiye na jipya tena

    Nimesikitika sana kusikia kuwa ni kweli aliyewahi kuwa Mchezaji wetu Louis Miquissone anarejea Simba SC. Mwaka jana Novemba na mwaka huu March kuna Kiongozi Mwandamizi wa Simba SC alienda Kumfuatilia na majibu yake GENTAMYCINE niliyasikia yakisema. "Hakuna Mchezaji tena pale na kama Tajiri...
  6. Tusidanganyane kwa sasa Wachezaji wote wa Yanga SC wana Thamani maradufu dhidi ya Simba SC

    Hata kama umefika Robo Fainali ya CAFCL mara Nne bado ni Kazi bure ( Work done Zero ) kwa yule aliyefika Fainali ya CAFCC. Kwangu Mimi GENTAMYCINE yule aliyefika Fainali ya CAFCC ndiyo Mwanamume na Yule aliyefika Robo Fainali ya CAFCL namwona ni Mwanaume / Mtoto na kuna muda namwona kama Mtoto...
  7. Mauaji ya Waandishi wa Habari mwaka 2022 yaliongezeka maradufu

    Waandishi wa habari 86 pamoja na watendaji wa vyombo vya habari waliuawa duniani kote mwaka 2022,kwa mjibu wa Taarifa kutoka shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, UNESCO, ikichambua zaidi ya kwamba takwimu hizo ni sawa na mmoja katika kila siku 4. Taarifa ya UNESCO...
  8. Law school of Tanzania yapandisha ada na gharama nyingine, kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=

    Taasisi ya mafunzo ya uanasheria Kwa vitendo (LST) imepandisha gharama za mafunzo ya uanasheria kwa vitendo kutoka 1,570,000/= mpaka 2,950,000/=. Ikumbukwe kuwa malipo hayo hufanyika Kwa mkupuo mmoja. Maswali ya kujiuliza; ~ Je, lengo la kupandisha gharama kwa kiwango kikubwa kiasi hiki ni...
  9. Bei za vyakula zapaa maradufu. Mchele wafika Tsh 3000/=, unga wa mahindi Tsh 2000/=

    Wakati bei za vyakula zikizidi kupanda katika maeneo mbalimbali nchini, wakulima wametaja sababu tatu za hali hiyo, wakiitaka Serikali kuingilia kati. Miongoni mwa sababu hizo, eneo ambalo wanataka Serikali iingilie kati ni kufurika kwa wanunuzi wa nafaka kutoka nje ya nchi. Sababu nyingine ni...
  10. Private schools (English medium) ada kupanda maradufu 2023. Serikali iingilie kati

    Serikali haina budi kufanya lolote liwezekanalo kufanya Shule hizi za private zisipandishe ada kiholela. Zinaweza zikapunguziwa gharama za uendeshaji ili ziwe na nafuu kwa malipo huko serikali. Baadhi ya Shule vikao vishaanza. Kuna ongezeko la ada la kutisha na wanajiamulia wenyewe kwa utetezi...
  11. Ombi langu bei za mazao na vyukula vipande maradufu

    Wakuu hili ni wazo langu kutokana na gharama za uzalishaji kuwa juu itafaa bei za vyakula na mazao mengine zipande ili kumsaidia mkulima.. Haya ni baadhi ya mabadiliko ya gharama za kilimo msimu huu ukilinganisha na msimu uliopita kwa hapa nilipo na hapa nazungumzia zao la mpunga -Kukodi...
  12. Maoni: Soko la silaha la Marekani kupanda maradufu

    Kutokana na mafanikio makubwa waliyopata wanajeshi wa Ukraine wanaotumia SILAHA za USA, tutegemee hawa waungwana watauza sana SILAHA zao. Na soko la wa Russia litakufa kabisa. Mungu bariki Ukraine, Mungu Bariki USA.
  13. P

    SoC02 Kujitolea kunalipa maradufu

    Kama Wahenga wetu walivyosema'Ndege anayetaka kutua kwenye bua la mtama ale sharti Kwanza atue kwenye mti wa pembeni ili aone vizuri bua lenye mtama mzuri'. Kujitolea ni Hali ya kufanya shughuli Fulani bila kutanguliza malipo au maslahi binafsi. Mwalimu mmoja wa shule moja ya Msingi...
  14. Serikali ya Tanzania ina 'suffocate', tuzo zitazidi kuongezeka maradufu.

    suffocate - hali ya kuteseka Kwa sisi ambao huwa tunamulika masuala ya kiuchumi na ya kiserikali, sijashangazwa kabisa na na ujio wa tozo tunazozipigia kelele. Serikali ya Tanzania ipo kwenye hali ya kuteseka. Kumbuka Rais Samia aliahidi kuongeza mishahara kwa watumishi kwa asilimia 23 ila...
  15. Saudi Arabia yanunua tani maradufu za mafuta Urusi. Je, ushawishi wa USA na EU umepungua duniani?

    Wanajamvi na wafuatiliaji wa mambo,kuna habari nimeikuta mitandaoni imenishangaza sana. Siku zote mataifa ya kiarabu hasa saudi arabia ni mfuasi mkubwa wa USA na EU, sasa leo yeye tu Saud Arabia ni mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani, halafu anaenda kununua mafuta mengi ya bei ya chini kwa...
  16. TRA toeni Bonus kwa kila mwenye Risiti 100 za EFD, Mtaongeza mapato maradufu kuliko kutumia nguvu!

    TRA kwa muda mrefu wamekua wakilalamika kupoteza mapato mengi kutokana na wauzaji wa bidhaa kutotoa risiti za Kielektroniki hii imesababishwa na wananchi wenyewe kutojua umuhimu wa kudai risiti za EFD nilisikia TRA wameanzisha mchongo kwa baadhi ya wakazi wa dar kwamba ukikutwa na TRA umenunua...
  17. Wanawake wanaotumia dawa za kulevya waongezeka maradufu

    Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza limesema idadi ya wanawake wanaotumia dawa za kulevya mkoani humo, imeongezeka maradufu kulinganishwa na wanaume. Akisoma taarifa ya mwenendo wa vitendo vya matumizi ya dawa za kulevya mkoani Mwanza katika utangulizi wa Siku ya Kupambana na Dawa za Kulevya, Mrakibu...
  18. Rais Samia apandisha kiwango cha Posho ya Kujikimu ya Safari za Ndani ya Nchi na Malipo ya Kazi Maalum kwa Watumishi wa Umma

    Perdiem. Tsh 250k , 220k,170k,150k kwa Jiji 200k,180k,150,130k kwa Manispaa 130k,120k,100k, 80k kwa Halmashauri Extra duty per day ni Tsh.60,000.0 Maafisa, 40,000.00 watumishi wengine, 30,000.00 wahudumu madereva. Hapo unaongezea 23.5% ya lile jambo lenu[emoji41] Wastaafu kulamba 33%...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…