Kuna sehemu unafika kirahisi kwa sababu ulipunguza watu wakujua njia ipi utapita na tena hata kuwafanya wakuone tayari umefika
Sio kwa ubaya ila kwa manufaa yako mapana ni kheri upunguze kuropoka hovyo kwa sababu sio wote watafurahia kusikia jinsi utavyokuwa mbeleni hivyo wako tayari kwa...
Growing up tumekuwa kwenye situations mbalimbali, ambazo hatukuzipenda. Labda ugumu wa maisha ya nyumbani, tabia za ndugu jamaa na marafiki, mifumo ya maisha, uraibu, nk.
Wengi wetu tulijiapia kuwa hatutojikuta kwenye hizo situation na kuna ule msemo, "labda nirogwe". Ila sooner enough tumekuwa...
Wakuu, wakati nakuja Marekani nilihakikishiwa uwepo wa watu wengi kusapoti afya ya akili. Kimsingi wameweka misingi mingi mizuri kwamba ukijiona hauko sawa unawacheki wakuweke sawa. Sijawahi kuwa mbali na nyumbani kiasi hiki nimetembea nchi za Afrika, hii ni mara yangu ya kwanza kuwa Marekani...
mwanadamu hapa dunia anao marafiki wa wili tu ambao bila kuwa nao huwezi uakaishi;
Rafiki wa kwanza kabisa ni Mungu: huyu ndiye aliyetuumba wote sisi wanandamu tena kwa mfanon wake na kwa sura yake. Ametumpendelea kwa kila kitu, kama tungemtii mpango wake ulikuwa kwamba tuishi hapa duniani kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.