marafiki wazuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poor Brain

    Trust no one, hakuna rafiki. Waswahili wanafiki sana

    Hata uishi nao vipi kuna watu wana roho mbaya sana. Kuna watu wanatamani kuona unateseka. Kuna watu wanapenda kuona unadhalilika na hapo ujawakosea chochote. Kina watu mafanikio yako yanawauma sana na haujafanya chichote. Wanatamani uwe chizi utokwe na midenda. Wanatamani kukuroge...
  2. C

    Hivi ushawahi kutetea/kuingilia ugomvi wa watu wengine?

    Habari wana JF Hivi kwenye maisha Yako ushawahi kujaribu kuingilia au kutetea ugomvi wa watu na nini kilikutokea? Kwa experience yangu ya kutetea ugomvi nishawahi kukutana na changamoto tatu (3)zilizonifunza kutokuwa na kiherere kwenye mambo ya watu 1) Hii ilinitokea kipindi nipo...
  3. C

    Mchambue marafiki; kuna wa maendeleo na wa misiba na mazishi tu

    Comrade wetu katika umoja wetu wa wa fanyabiashara za umachinga wakubwa kapata tatizo kubwa la kia afya ya kindeney trans-plant uko Appolo india, medical bill pamoja na vifaa tiba, usafiri wa watu wake wa karibu wawili maladhi pamoja na meals bill imekuja US $95,000 sawa na roughly 210m za...
  4. M

    Usikubali kuwa mtu wa kukumbukwa na marafiki wakiwa na shida tu, wewe sio choo

    UKIONA WANAKUKUMBUKA TU WAKIWA NA SHIDA JUA UMUHIMU WAKO NI MDOGO KWENYE MAISHA YAO MENGINE 😔 Ukitafutwa kwenye shida tu tafasiri ni kuwa muda mwingi wakiwa na raha hutumia na wengine ila kwenye majanga ndio wanakukumbuka wewe na baada ya utatuzi unasahaulika tena, Wewe sio Choo. Hata Choo...
Back
Top Bottom