Comrade wetu katika umoja wetu wa wa fanyabiashara za umachinga wakubwa kapata tatizo kubwa la kia afya ya kindeney trans-plant uko Appolo india, medical bill pamoja na vifaa tiba, usafiri wa watu wake wa karibu wawili maladhi pamoja na meals bill imekuja US $95,000 sawa na roughly 210m za...