Soko ni sehemu inayotakiwa kutunzwa na kuheshimiwa sana, ni sehemu ya kibiashara na hasa sehemu tunapopata mahitaji yetu ya chakula kwa tulio wengi.
Kwa mji mdogo wa Marangu kuwa na soko lenye taka nyingi kiasi hichi zenye zaidi ya miezi kadhaa bila kutolewa na ikizingatiwa ni mji wa kitalii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.