Siku ya Jumatatu, Januari 20, 2025 Rais Samia, alithibitisha kuwa mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamulo, mkoani Kagera. Leo imetoka taarifa kuwa mtu mmoja kati ya wawili waliobainika na ugonjwa wa Marburg aliyekuwa akipatiwa matibabu katika...