Wizara ya afya imedhibitisha kifo cha mgonjwa mmoja wa Marburg ambaye alikuwa akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospital ya Wilaya Biharamulo. Aliyefariki ni kati ya wagonjwa wawili waliobainika kuwa na ugonjwa huo wilayani humo.
Soma, Pia: Rais Samia athibitisha mmoja kugundulika na...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mtu mmoja amekutwa na maambukizi ya virusi vya Marburg (MVD) katika Wilaya ya Biharamuro mkoani Kagera.
Taarifa hiyo inakuja siku sita tangu Shirika la Afya Duniani (WHO) liweke wazi kuhusu watu wanane kufariki dunia kutokana na ugonjwa unaoshukiwa...
Tumekumbwa gonjwa hatari lenye kuuwa hadi 90% ya wahanga.
Sisi kwa tunachoita kuondoa taharuki tumependelea kuliita Marburg badala ya jina lake linalofahamika uswahilini, yaani Ebola.
"Kwamba tumependa kutoliita koleo kwa jina lake."
Maajabu ya Mussa.
Tangu lini uswahilini neno Marburg...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.