Nyota wa timu ya taifa ya Uingereza Marc Guehi yupo kwenye hatihati na huenda akakabiliwa na mashtaka ya chama cha mpira cha FA kwa kuandika maneno 'Ninampenda Yesu' kwenye kitambaa cha mkononi cha manahodha wa vilabu vya kandanda Uingereza, kitambaa ambacho kilikua na alama ya upinde wa mvua...