Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
TUFIKE WAKATI TUSEME KUPANGA MECHI NO KWENYE SOKA LETU
NAJUA WENGI MMEUMIA KWA ADHABU YA ALI KAMWE NAWAHAKIKISHIA HUU NDIO MWANZO TU. MTAAMBIWA UKWELI MTAFUNGIA WENGI TU MPAKA MBADILIKE
UKWELI UKO WAZI MECHI ALIZOCHEZA SIMBA ZILITIA AIBU MPAKA WATANZANIA WAKAAMKA NDIPO UKAONA MAREFA...
Kuna HABARI
Agis habari WA YANGA amefungiwa miaka 2
Kifupi tu huu ni UWOGA na Tff mkumbuke hii n mwanzo tu hakuna watu WAACHA kuwasemea UPUUZI WENU na UPUUXI WA Refa
Kama mlifikiri mkimfungia Ali kamwe mnaidhoofisha Yanga mmejichanganya wenyewe hakuna jipya
WAsemaji adhabu ya kamwe...
BAADA ya MAKELELE kwa marefa na baadhi yao kuanza kuchezesha bila penalty Wala REDcard
Sasa kuna plan "B" inakuja dhidi ya tar 8
Refa atachezZesha vizuri sana na hakuna AMBAE atatoka akimlalamkia
Kinachokuja mjiandae na WASAIDIZI WAMEJIPANGA na wamepangwa kuwaumiza
Na njia Moja wapo n...
HII NA AIBU KWA MPIRA WA TANZANIA
YAAN MPAKA WANANCHI NA WAANDISHI WA HABARI WAPIGE KELELE WAAMUZI WABOVU WANAPOKEA RUSHWA
NDIO MNAWEKA REFA MWENYE KIWANGO CHA JUU KWANI ALIKUWA WAPI??
SITASHANGAA DECEMBER NIKISIKIA LIGI YENU IMEFIKIA NAMBA 1 5.
MSIPOBADILIKA..MSISUBIRI KILA SIKU IWE AIBU...
Kumekuwa na malalamiko kadhaa kuhusu marefa
Hakuna aliemsafi ila KUNA matukio ya AIBU AMBAYO unaweza shangaa limetoka neno baya
TUNAOMBA
Chama cha marefa wapen somoo maana ya mfungo na jinsi ya kuheshimu wanafunga
Else naona wengi wakiharibu swaumu zao kama wataendelea kuangalia hizi mechi...
Hili halina ubishi kwamba msimu huu 2024/2025 marefa wameamua kuibeba timu ya Simba Kila mechi. Hali hii ilianza taratibu na sasa ndio imekuwa kawaida Kila mechi Simba ambayo ni timu choko lazima itafutiwe ushindi wa mchongo au kupewa penati ili tu ionekane imeshinda.
TFF badala ya kuchukuwa...
Makolo wako busy kuijadili Yanga badala ya ku-focus madhaifu ya timu yao ambayo bado inaendelea kujitafuta na haina uhakika wa matokeo mazuri. Maneno ni mengi ila yote msingi wake ni kujifariji wakijiaminisha Yanga sasa basi na kwamba imeshuka kitu ambacho sio kweli.
Wakati wao wako busy...
Tunashudia kila mechi khalidi aucha na Mudathiri huingia kwa lengo la kucheza rafu kupiga mateke wachezaji wa timu pinzani marefa huishia kuwapa onyo la mdomo na mwisho hutoa kadi ya manjano baada ya hapo huwaacha wakiendeleza uhuni wao uwanjani badala ya kupiga soka,
Naiona tabia hiyo ikizidi...
Ile penalti waliyopata Simba kule Dodoma haikuwa halali, lakini mwamuzi aliwapa faida kwa kuwapa pointi 3. Timu ya Dodoma ililalamika, na kocha wao, Mexime, alionyesha kutoridhika. Lakini msemaji wa klabu aliwaambia waende TFF kama wana malalamiko zaidi!
Mechi dhidi ya Azam kule Zanzibar nayo...
Marefa toka nje wawe wanachezesha derby ya kariakoo,inashangaza marefa wa ndani kurudia makosa yale yale kubeba timu moja.
Sehemu ambayo kadi nyekundu inatakiwa haitolewi,penati zinazostahili zinaminywa kubeba timu flani.
Rushwa nje nje, Chama anaingia kupiga foul aliyotengenezewa mazingira.
I will be short
Marefa wanakuja na matokeo yao kutoka nyumbani, every match ni same story, ukimtoa Alajiga, wengine wote wezi tu.
Karia kazuia VAR eti watu wajifunze kwanza, in reality anataka kuitumia kampeni ya TFF, VAR zipo mbili hapa Tz.
Ila board ya ligi ipo kimya, reasons wanatoa za...
Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
VAR ililetwa kwa ajili ya kuzionea timu zetu tu. sababu hazina majina makubwa. Caf wanapenda sana kumbeba mamelodi. sababu bosi wao rais wa caf ndie mmiliki wa mamelodi
Sheria za mpira zinasema mtu wa mwisho akifanya rafu ni kadi nyekundu. ila kwa mamelodi hata VAR haijajisumbua kucheki...
Ni aibu na ajabu Kuona mashabiki na viongozi wa Simba eti wanamlaumu Kayoko kawabeba Azam!!? Ni kichekesho Cha mwaka hiki sijawahi ona wapumbavu kama hawa watu!
Simba ndiyo timu iliyochukua point nyingi za kubebwa kwenye ligi kuu kutoka kwa MAREFA kina Tatu Malogo, rejea mechi ya Prison, KMC...
Huyu referee anayechezesha pambano la Congo DR na Morocco ni muungwana sana. Wachezaju wa Morocco wakiwa wanatoka anawasindikiza anawaambia wasikimbie wasije wakaanguka wakaumia.
Naona mzozo mchezaji mmoja wa Congo kaamua kumchana referee kuwa inaonekana ana..... Na Morocco wamekasirika sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.