Ukitaja kufanikiwa kibiashara jitofautishe na wenzako kwa kufanya tofauti lakini bora
Mabasi ya Sauli yalijitifautisha kwa kutopoteza muda kizembe barabarani ....TIME MANAGEMENT !!!
Solomon Sauli hatunaye amefariki ajalini na ameshazikwa kijijini kwao.
Mwamba hakufa kizembe,wake watatu na...