marejesho ya mikopo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Marejesho ya mikopo bubu na VICOBA yazidisha wimbi la wizi mjini na vijini

    Inaonekana marejesho ya mikopo bubu ya mali kauli, ile mikopo ya kijumbe, ile michezo ya kutuzana fedha kwa zamu kwa mzunguko wa wiki au mwezi na mikopo ya vikoba imechochea na kuchangia kwa kiasi fulani ongezeko la wizi na udokozi wa vitu mbalimbali humu nchini. Hayo yote yanafanyika ili...
Back
Top Bottom