Dunia katika miaka hii mitatu iliyopita kufikia sasa imeshuhudia maajabu mengi na vichekesho visivyotarajiwa.
Marekani imekuwa bega kwa bega na Urusi katika kutaka vita vya Ukraine visitishwe bila kuguswa kwa Urusi
Israel imegaragazwa na Hamas baada ya kutumia nguvu kubwa mpaka inazitaka nchi...