Katika hali ya kushangaza, Marekani iliungana na Urusi wakati wa upigaji kura katika baraza kuu la umoja wa mataifa kuhusu maazimio ya kuleta amani nchini Ukraine.
Katika kura hizo zilizopigwa mnamo tarehe 24 Februari 2025, kwanza Marekani , Urusi pamoja na nchi nyingine kama Korea Kaskazini...