Marekani inachunguza uvujaji wa taarifa za siri za kijasusi kuhusu mipango ya Israel ya kulipiza kisasi dhidi ya Iran, kulingana na watu watatu wanaofahamu suala hilo. Mmoja wa watu hao amethibitisha uhalali wa nyaraka hizo.
Wameanza kutafuta mchawi,zingekua ni za Iran, Russia au China humu...
Sijui ni kivipi Russia watalipa kisasi kwa marekani kama walivyosema mara baada ya makombora ya marekani kutumiwa na Ukraine kushambulia Crimea ambayo tayari iko chini ya himaya ya Urusi tokea 2014. Habari zaidi…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Urusi ilimwita balozi wa Marekani Jumatatu kupinga...
Putin kawashika pabaya Marekani sasa wanahaha kujilinda kwa kila mahala baada kuistukia Kaspersky Software ya Urusi inatumika kufanya ujasusi..Juzi tu walikua Wana ituhumu TikTok ya China kwa ujasusi🤣🤣🔧
---
🚨 BREAKING: BIDEN BANS ANTIVIRUS KASPERSKY SOFTWARE
Biden admin will announce plans to...
Marekani siku za hivi karibuni imekua kama mbwa koko kwa kulia lia kila mahala huku asiamini kinachoendelea baada kuzoea kutawala Dunia bila upinzani kwa miongo kadhaa, sasa ivi anaendeshwa kama gari bovu hana uwezo wa kutoa amri tena zaidi ya kubwekea bandani.. 😅😅
US condemns Vietnam for...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.