marekebisho ya katiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poppy Hatonn

    Katibu Mkuu wa CCM amesema CCM itafanya marekebisho ya Katiba yao.

    Ni marekebisho gani hayo.?
  2. milele amina

    Katiba ya CHADEMA inahitaji marekebisho ya haraka

    Katika kipindi hiki ambacho nchi inakabiliwa na changamoto mbalimbali za kisiasa, ni muhimu kwa vyama vya siasa kuangalia upya katiba zao ili kuhakikisha ufanisi na uendelevu wa shughuli zao. Katiba ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ina muundo mbovu ambao unahitaji marekebisho ya...
Back
Top Bottom