marekebisho ya sheria

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kufanya Marekebisho ya Sheria za Barabarani Ili Kukabiliana Ipasavyo na Ajali za Barabarani

    Akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum Vijana Taifa, Mhe. Amina Ali Mzee; Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Daniel Sillo amesema Serikali iko hatua za mwishoni kuleta Muswada wa Sheria Bungeni ili ifanyiwe marekebisho kwa lengo la kukabiliana na ajali za Barabarani zinazosababishwa na...
  2. Mkalukungone mwamba

    Pauline Gekul ahoji uwiano wa adhabu kwa wafanyabiashara kwenye muswada wa marekebisho ya Sheria ya ushindani 2024

    Mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul amesema kiwango cha adhabu kilichopendekezwa kwenye Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Ushindani wa Mwaka 2024, kwa wafanyabiashara watakaoshindwa kuweka wazi bei za bidhaa wanazouza, kiendane na ukubwa wa biashara husika. Muswada huo...
  3. MamaSamia2025

    Ninalisihi Bunge lipuuze hoja za wanaharakati na kupitisha Muswada wa marekebisho ya sheria ya kuzuia na kupambana na Rushwa, kifungu 10

    millardayo Mtandao wa Kupinga Rushwa ya Ngono wenye jumla ya Mashirika zaidi ya 200, umetoa tamko leo August 31,2024 la kupinga marekebisho yanayopendekezwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, hususan kifungu 10(b) wakisema marekebisho hayo yanahatarisha...
  4. Dkt. Gwajima D

    Bunge lapitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Ulinzi wa Mtoto

    BUNGE LAPITISHA MUSWADA, MAREKEBISHO YA SHERIA ZA ULINZI WA MTOTO. Na WMJJWM, Dodoma Bunge la Tanzania limepitisha muswada wa marekebisho ya sheria zinazohusu ulinzi wa mtoto wa mwaka 2024 leo Agosti 30, 2024 jijini Dodoma. Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe...
  5. J

    Rais Samia, tafadhali usisaini marekebisho ya Sheria ya Kukata Watumishi 10% ya Mishahara. Huo ni mtego mbaya sana kwako

    Inasikitisha sana kuona Bunge la Tanzania likipitisha Muswada wa marekebisho ya Sheria ya Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa watumishi wa Umma kukatwa asilimia 10 ya mishahara yao kuchangia mifuko hiyo. Kitendo hicho kitaleta athari kubwa sana kwa watumishi wa umma ambao wanachekelea kupandishwa...
  6. Roving Journalist

    Bunge lapitisha muswada wa marekebisho ya sheria za hifadhi ya jamii

    Na; Mwandishi Wetu - DODOMA BUNGE limepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria za Hifadhi ya Jamii wa Mwaka 2024 wenye mambo kadhaa yanayolenga kuondoa changamoto zinazowakabili wanachama na utaratibu wa upatikanaji wa mafao. Marekebisho hayo yanagusa Sheria tatu ambazo ni Sheria ya Mfuko wa...
  7. Ojuolegbha

    Kamati ya Bunge Utawala, Katiba na Sheria yapokea maelezo ya Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria ya shule

    Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria, Mhe. Florent Kyombo ameongoza kikao cha kamati hiyo kilichopokea Maelezo ya Waziri wa Katiba na Sheria kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Shule ya Sheria Tanzania (The Law School of Tanzania...
  8. R

    Zitto ACT: Tumeridhishwa na marekebisho ya sheria za uchaguzi

    Zito amekengeuka kiasi hiki kweli? anasema Masuala 6 kati ya 10 yamekubaliwa: 1. Anasema: sasa kutakuwa na tume huru, mabadiriko si ya siku moja 2. Anasema tumelipwa sehemu ya deni, baki italiwa baadaye ie madai mengine yatafanyiwa kazi huko mbeleni analinganisha haki ya asili ya demokrasia...
  9. Rutashubanyuma

    Hatuwezi kwenda Uchaguzi wa 2024 na 2025 bila marekebisho ya Sheria za Uchaguzi

    HATUWEZI KWENDA UCHAGUZI WA 2024 NA 2025 BILA MAREKEBISHO YA SHERIA ZA UCHAGUZI Watawala wamekuja na mbinu ya medani wengi hawaijui katiba iliyopo, vyama vya siasa siyo wamiliki wa Katiba na ubora wa katiba siyo lazima haki ikatendeka. Hivi ni visingizio vya kukwepa kurekebisha mfumo wa...
  10. Mpinzire

    Nimewasilisha maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa

    Leo kupitia Email ya Kamati Bunge nimetuma maoni yangu kupinga marekebisho ya sheria ya ulinzi wa rasimali za Taifa. Ndugu wana Jamii Forums, ikumbukwe mabadaliko haya yatapelekea kupoka mamlaka ya Wananchi ambayo yanatolewa na Katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ibara 27 (1) (2) ambayo...
  11. J

    Waraka wa Wazi kwa Rais kuhusiana na Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Usalama wa Taifa ya Mwaka 2023

    1. Kwanza kabisa napenda kusema kwamba Mimi binafsi huwa sipendi na wala sina utamaduni wa kupenda kutoa maoni yoyote humu mitandaoni wala kwenye Jamii kuhusiana na masuala ya siasa na hata ya masuala mengine yoyote ya kijamii. Kwa kifupi Mimi siyo mtu wa kupenda mijadala kabisa hususani...
  12. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Damas Ndumbaro awasilisha marekebisho ya Sheria Mwaka 2023 na Urekebu wa Sheria wa Mwaka 2023

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMABRO AONGOZA TIMU YA WATALAAMU KUWASILISHA MAREKEBISHO YA SHERIA MBELE YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, ameongoza Timu ya Wataalamu wa Wizara ya Katiba na Shera, Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Wizara...
  13. OLS

    Marekebisho ya sheria ya COSTECH inaweza kuathiri hata wanahabari

    Niliingia bungeni ku-observe CSOs, NGOs, watu binafsi ambao wamewasilisha mapendekezo yao kuhusu sheria na miswada ya sheria inayopendekezwa. Hata hivyo Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria ilikuwa na watu wachache sana walioenda kutoa mapendekezo ambayo hasa yalilenga sheria ya COSTECH na...
  14. BARD AI

    Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022 yatagusa maeneo haya

    Muswada huu unapendekeza kufanya mrekebisho katika Sheria tano ambazo ni Sheria ya Ushuru wa Bidhaa, Sura ya 147, Sheria ya Kodi ya Mapato, Sura ya 332, Sheria ya Ushuru wa Barabara na Mafuta, Sura ya 220 na Sheria ya Kodi ya Ongezeko la Thamani, Sura ya 148. Muswada huu umegawanyika katika...
  15. The Sheriff

    Bunge Kupokea Maoni ya Wadau Kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imepanga kupokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali za Fedha wa Mwaka 2022. Mkutano wa kupokea na kusiikiliza maoni ya wadau utafanyika siku ya Jumanne tarehe 20 Septemba, 2022 saa 4:00 asubuhi katika ukumbi wa Pius...
  16. beth

    Malalamiko ya Sheria Kandamizi: Rais Samia asema Serikali ipo tayari kupokea Mapendekezo kuhusu Marekebisho ya Sheria ya Habari

    Picha: Rais Samia akihojiwa na DW Akiulizwa ikiwa Vyombo vya Habari kufungiwa kutategemea Hisani ya Kiongozi mmoja hadi mwingine au upo utaratibu wa kuhakikisha vinafanya kazi kama taratibu zinavyoelekeza, Rais Samia amesema Vyombo vya Habari vitafanya kazi kwa Mujibu wa Sheria Katika...
  17. Informer

    Tanzania: Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kufanyiwa marekebisho kuhusu umri wa kuolewa

    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palagamba Kabudi amesema Serikali imepanga kutekeleza uamuzi wa Mahakama ya Rufani kwa kuandaa Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, kuhusu umri wa kuolewa. Profesa Kabudi alisema hayo Novemba 18,2021 alipoeleza mafanikio ya wizara yake...
  18. beth

    Muswada wa Marekebisho ya Sheria mbalimbali 2021 wapitishwa

    Kamati ya Bunge zima leo imepitisha Muswada wa Marekebisho ya Sheria Mbalimbali wa Mwaka 2021 baada ya kuipitia Ibara kwa Ibara. Muswada huo unalenga kufanya marekebisho katika Sheria zipatazo Tatu kwa lengo la kuondoa matumizi ya Kiingereza kama Lugha ya Sheria na Mahakama, na badala yake...
Back
Top Bottom