Yafuatao ni maoni na mtazamo wangu binafsi juu ya uwepo wa haja kubwa ya Marekebisho ya haraka ya Katiba yetu ya JMT kulingana na mahitaji ya sasa. Marekebisho haya yafanyike haraka na mapema kabla ya Uchaguzi wa 2025 kwa sababu tunakoelekea kwa sasa hivi ni hatari zaidi kwa amani na Usalama wa...