Wakuu naona huu ndiyo ule mwaka wa kupokea, kila mtu anajitia kuchangia hiki mara kile ilmradi tu aonekane atajwe tajwe ili kujiwekea mazingira mazuri.
Mjumbe wa Mkutano Mkuu UWT Taifa Wilaya ya Handeni Bi Mariam Mwanilwa amechangia Bati 40 kwa familia ya watoto Yatima 6 iliyopo Mtaa wa Zizini...