Mileva Marić Einstein hiyu alikuwa mke wa kwanza wa Einstein.
Ushahidi unaonyesha kuwa alichangia kwa kiasi kikubwa katika nadharia ( theory ) za Einsten.
Lakini hakuwahi kupewa sifa yoyote.
Alikuwa mwanahisabati na mwanafizikia mahiri. Wawili hao walikutana katika Taasisi ya Polytechnic...