"Wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani aliita vyama kule Dodoma na nchi hii ina vyama 19 vilihudhuria vyama 18 kwenye huo mkutano.
"Na Rais alikuwa akizungumzia kuhusu 4R maridhiano. Na katika vyama hivyo CHADEMA haikuwepo.
"Na Rais akizungumzia kuwa na mfumo wa maridhiano ambao...
Wakuu,
Yaani Mbowe ni kama anampigia kampeni Rais Samia, maana vyote anamsifia yeye tu. Kwani hajui hayo yalifanya kwa uonevu na Rais Samia ku act right ni jukumu lake?
====
Mbowe amesema wanaosema maridhiano hayakuwa na faida wanakosea, kwani maridhiano hayo yalikuwa na faida, japokuwa...
Kwa muda mrefu Sasa, Chama cha Mapinduzi kimeongoza kwenye dira ya siasa kwa kuwa na Sera zinazo kubalika kwa wananchi na kwa ujumla kufanya vizuri katika kipindi ambacho wawakilishi wake wamekuwa madarakani. Matokeo ya kuwa na rekodi nzuri kama hii ni nzuri kwa wananchi na Chama tawala lakini...
Napoongelea maridhiano kati ya Wananchi na Serikali naomba nieleweke kuwa, simaanishi aina Ile ya maridhiano kati ya CCM na ACT kule visiwani,
Maridhiano nayoongelea Si yake ya Mh Mbowe na kinana na team yake ambayo yaliendelea zaidi ya mwaka huku tukiendelea kukandamizwa na TOZO na Mfumuko wa...
Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais nazungumza hili kwa uhalisia uliopo sasa. Lakini nina mashaka ndani ya hii Siasa mapya inayoitwa Maridhiano...
Eti maridhiano. Kuna maridhiano hapo au ile ziara ya rais Samia kule USA ndio imezaaa maridhiano uchwara ili kuwaridhisha mabeberu kuwa kuna demokrasia nchini. Demokrasia uchwara wakati wananchi wa kawaida wanaumia. Tozo, ufisadi na ughali wa maisha.
Nani mwananchi wa kawaida anahitaji Chama...
Na Bwanku Bwanku.
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umesifu na kupongeza hatua madhubuti alizoanza kuzichukua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kuliweka Taifa katika hali ya amani, umoja na mshikamano kupitia kuongoza maridhiano ya kisiasa...
Chini ya Hayati Magufuli, tumeshuhudia jamii ya Watanzania ikiwa imegawanyika pasu-pasu kwa misingi ya itikadi kinzani za vyama vya siasa. Mgawanyiko wa jinsi hii haujawahi kutokea kwenye awamu yoyote ya urais huko miaka ya nyuma - ulikuwa mgawanyiko uliosheheni kuhasimiana kiasi cha kufikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.