maridhiano ya kijinsia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna haja ya kufanya maridhiano ya kijinsia kwenye jamii yetu

    Kuna sumu kali sana baina ya mwanamke na mwanamme kwenye jamii ambayo inahitajika kuondolewa kwa faida ya vizazi vijavyo. Angalia matukio ya kikatili yanayofanyika. Kule Mwanza jamaa kampiga risasi mke wake wanaume wanatetea uenda mwanamke hakuwa mwaminifu kwenye ndoa kule Dar dada kachoma moto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…