Wadau wa jamii forum, Heri ya sikukuu ya Simba Day. Leo nimeamka na mzuka wa kumsikiliza Jabari la muziki.
Naomba kama unao wimbo wowote wa Marijani basi uniwekee hapa. Nitafurahi nilipata
-Namsaka mbaya wangu
-Mzee hamis
-Mwana Acha kidomodomo
Na nyingine nyingine nyingi