Salam Wakuu,
NImepita maeneo hayo asubuhi hii moja ya nguzo inayotoa umeme kwenye transfoma hiyo inatoa mlio ule wa kama kuna shoti. Wenyeji wanasema hali hiyo imeanza toka toka jana mchana lakini mpaka sasa hakuna kilichofanyika.
TANESCO fanyeni hima kushughulikia suala hili lisije likaita...