marioo vs diamond platnumz

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna tofauti kati ya video bora na video yenye gharama kubwa

    Video kuwa na budget kubwa haimaanishi kuwa itakuwa bora Kuna utofauti mkubwa kati ya video ya gharama na video iliyo Bora. Kwa mtazamo wangu ambao sio lazima Kila mtu awe nao kwangu Music video ya Mario Hakuna Matata ni Bora zaidi kuliko Komasava ya Diamond Platinumz.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…