Ila sishangai hata Mimi GENTAMYCINE Watu wengi wananiambia nafanana ile mbaya na Bondia Mkongwe Mike Tyson.
Pia soma: Nape Nnauye: Nawapa pole na naomba radhi kwa kauli yangu ya ushindi nje ya boksi
Nimetoka kuiangalia Clip ya Nape akiomba Radhi kwa Kauli yake ya Goli la Mkono na nikamuona...
Nianze kwa kusema tu sina uhusiano wa aina yoyote na Profesa Mark Mwandosya, hanijui kwa jina wala sura pia kwa upande wangu namjui kwa jina na kumuona kwenye picha na video tu hatujawahi kukutana.
Ila hii sauti imeanza kuniijia kwa zaidi ya miezi sita sasa niliipuuzia lakini nimeshindwa...
Prof. Muhongo amewalima akina Doto Biteko na cohort nzima ya PhD ( P engine h ana D egree. Someni wenyewe hapa chini:
"Naomba niwasaidie: comments za Prof Mwandosya zichukuliwe kwa uzito wake unaostahili. Tuko kimya siyo kwamba hatujui ukweli wa ukweli.
Kwanini msiombe yafuatayo:
1. Abstract...
Nianze na Profesa Mwandosya
Ni mhandisi wa umeme
Alisomea Japani
Amefundisha vyuo vikuu vingi kwanjia ya video conference kitambo
Hakusomea masters ila akawa Prof how? Alikuwa wizara moja na JK enzi za Mwinyi. Wakagombana. Mwinyi akawapatanisha
JK alipokuwa waziri akamteuwa kwenye serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.